Hii Genk ni kama timu flani hivi mwaka jana ilkuwa inapigwa tano half time

Duh huyu akikutana na Liverpool

Bado hajakutana na Liverpool😂😂😂 ⚡⚡
 
KUNA HAKO KADOGO KANAITWA NDONGALA NI TAKATAKA KABISA, SIJUI KAMEWEZAJE KUSAJILIWA NA TIMU YA ULAYA KAKONGO HAKO.
 
Unaambiwa tangia kuzaliwa taifa la Tanzania Samatta ndo mtanzania wa Kwanza kucheza UEFA na kufunga ktk mashindano hayo.
 
Yaani unawaita Redbull underdog? Hao jamaa wana historia ya kupiga pasi 999 ya 1000 wakafunga bao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…