Hii habari inaweza sababisha mtu kukacha Jumamosi

Hii habari inaweza sababisha mtu kukacha Jumamosi

nzagambadume

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2018
Posts
2,430
Reaction score
5,779
Tangu sakata la Mo dewji kutekwa linalosubiri report ya IGP ili kurudisha imani ya wafanyabiashara wakubwa haswa wa kihindi na jumuiya ya kimataifa ya wafanyabiashara ambao hawaamini billionaire anatekwa kizembe vile bila majibu hadi leo,kuna mtu fulani ambaye ni shabiki wa simba alikata mguu kwenda uwanjani haswa zile mechi kubwa ambazo Mo huwa hakosi akaja kuonekana siku ya simba vs yanga ambapo Mo alikuwa kasafiri
Sasa jumamosi kuna do or die match kwa simba na Mo kathibitisha kuwepo ,JE JAMAA atatokea uwanjani akae seat ya pembeni kwa MO?
Capture.PNG
 
Back
Top Bottom