Kiboko.
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 2,891
- 1,214
News from heslb, wanafunzi wote wa vyuo vikuu vya tanzania fedha ya chakula na maladhi ya awam ya pili kwa masomo 2014/ itapitishwa mpaka mchakato wa maoni ya katiba kukamilika hapo tarehe 27,mwezi wa 5 samahanini kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.kutoka kwa naibu kaimu wa baraza la mikopo tz ndg
John.Bayengele.
"nmetumiwa hyo msg vip inaukwel wowote?
sent from my iphone using jamiiforums.����
John.Bayengele.
"nmetumiwa hyo msg vip inaukwel wowote?
sent from my iphone using jamiiforums.����