Hii haiwezi tokea popote pale duniani, ni Kenya pekee

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617

Hivi inawezekanaje nchi yenye jeshi, POLISI, na vyombo vingine vya ulinzi, lakini bado kuna watu wanasema hadharani kwamba wao ndio serikali na hawaitambui serikali iliyoko madarakani na bado hawachukuliwi hatua?.

Kazi muhimu na msingi ya serikali yoyote duniani ni kudhibiti usalama wa raia wake, wajione salama popote pale walipo, serikali yoyote inayoshindwa kutimiza wajibu wake huo wa msingi, ni serikali iliyoshindwa " Failed state".
 
Ukiona mtu anamshangilia na kumhusudu binadamu mwenzake zaidi hata ya wazazi wake...basi huyo ujue ni ccm
CCM hoyeeeeee, Failed state hoyeeeeeer
Hahahaha, Hahahaha, Hahahaha.
 
wakenya buana,hapo ndo mnalalamika wenyewe!
 
Nimependa alivomaliza story yake. Waandishi wa bongo kazi kushadadia uzushi na umbea tuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…