Nishawahi hadi kushushiwa ngumi nzito mgongoni[emoji13] [emoji13] eti kisa nimefananishwa, mwisho wa siku jamaa kunicheki usoni laah! Sie aliemkusudia. Nikabaki nimepigwa butwaa, na kumrudishia nikashindwa[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]