Hii hali inanisumbua sana. Nakosa amani moyoni

Gemini Are Forever

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2019
Posts
1,508
Reaction score
2,619
Heri ya Eid Mubarak wanaJF!

Nipo hapa sina amani. Jioni hii nilitoka home nikaenda kitaa kuzunguka kidogo, wakati wa kurudi njiani nikakutana na baba yangu mdogo tukaja hadi home.

Kinachonikosesha amani ni kwamba huyo baba yangu mdogo alibeba mfuko wa mahitaji madogo madogo kutoka dukani ambapo tuliongozana wote akiwa anaubeba yeye.

Baada ya kufika nyumbani nikakumbuka kwamba kwanini sikumpokea ule mfuko?

Kisa cha pili kinachoniumiza kwa muda kila nikikikumbuka ni kwamba kuna siku (mwaka 2018) dereva alitupakiza kwenye piki piki (tupo wawili na dereva wa tatu) tukaja tukamkuta mother njiani tukampita; nyumbani kuna umbali wa kama dakika 10 kwa mguu.

Baada ya kufika home nikakumbuka kwanini sikushuka ili mama apande?

Kiukweli hii hali imekuwa ikinitokea kila mara ambapo inanikosesha amani. Hata nikisahau kidogo ila nikimwona huyo mtu najikuta nakosa amani na kujiona kwamba nimemkosea sana.
 
Mkuu kama kweli inakuuma ilitakiwa ujifunze toka 2018, Sasa leo 2020, umerudia kosa lile lile unalodai ukikumbuka linakuuma,
Kesho utarudia tena utasema inakuuma.

Acha kujutia, rekebisha majuto, fanya vitendo kuepuka majuto kila siku.
 
Una miaka mingapi kijana

Una mambo ya kitoto sana, hivi hayo ni mambo ya kuumiza kichwa kweli, hivi kweli una umiza kichwa kwa kitu kidogo kama hicho?

Hujakutana na vitibwi wewe bila shaka
 
Hivi ukifa ukazikwa, kuna watu hawataishi kwa sababu wewe haupo?

Kila mtu na ratiba zake za maisha, na kama anahitaji msaada wako atatamka kwa kinywa chake kuuhitaji msaada wako kumsaidia kubeba mzigo ama usafiri.

Usipende kujihisi hatia kwa kila utendalo hata jambo usilostahili kujihoji.

Mtu atoke nyumbani kwake na safari zake, ukutane naye njiani uanze kujihisihisi, why?

Acha hizo, ama waone wataalamu wa magonjwa ya akili.

Infiriority complex ni magonjwa ya akili.

Mwisho utaanza kujihisi unamega matonge makubwa sana wakati unakula, mwisho utakufa kwa njaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
reyzzap said:
Mkuu kama kweli inakuuma ilitakiwa ujirekebishe toka 2018
Mkuu tatizo ni kwamba, huwa sikumbuki ila baadae mwishoni baada ya tukio ndio akili inafunguka na kukumbuka kuwa hivi kumbe sikumfanyia kitu fulani muhusika?

Yaani mkuu mwanzo huwa sikumbuki kabisa ila mwishoni ndo nakumbuka na hapo ndo penye tatizo.
 
Jifunze kua mtulivu unapokutana na mtu unayehisi kumheshimu. Ujue hitaji lake kwako mnapokutana, sio mkikutana na mtu ukisha msalimia unaanzisha mastori kibao mnashtukia mshafika home.

Jitahidi uwe msikilizaji saana kuliko msimuliaji kwenye maisha inasidia kupunguza majuto, yaani ww unakoment pale unapoona kuna umuhimu kweli wa kusema jambo.

Nimejaribu kufikiri tuu kwa fikra zangu finyu.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
mambo madogo madogo Ila unajibebesha mizigo isiyo ya lazima!
mie unaweza nisalimia asubuhu nikakumbuka jioni..
 
Heri ya Eid Mubarak wanaJF!

Nipo hapa sina amani. Jioni hii nilitoka home nikaenda kitaa kuzunguka kidogo, wakati wa kurudi njiani nikakutana na baba yangu mdogo tukaja hadi home.

Kinachonikosesha amani ni kwamba huyo baba yangu mdogo alibeba mfuko wa mahitaji madogo madogo kutoka dukani ambapo tuliongozana wote akiwa anaubeba yeye.

Baada ya kufika nyumbani nikakumbuka kwamba kwanini sikumpokea ule mfuko?

Kisa cha pili kinachoniumiza kwa muda kila nikikikumbuka ni kwamba kuna siku (mwaka 2018) dereva alitupakiza kwenye piki piki (tupo wawili na dereva wa tatu) tukaja tukamkuta mother njiani tukampita; nyumbani kuna umbali wa kama dakika 10 kwa mguu.

Baada ya kufika home nikakumbuka kwanini sikushuka ili mama apande?

Kiukweli hii hali imekuwa ikinitokea kila mara ambapo inanikosesha amani. Hata nikisahau kidogo ila nikimwona huyo mtu najikuta nakosa amani na kujiona kwamba nimemkosea sana.
polee sana,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa father no sawa lakin kwa mother ulikosea sana angalau ugelishuka kwa Toyo mkatembea wote
Heri ya Eid Mubarak wanaJF!

Nipo hapa sina amani. Jioni hii nilitoka home nikaenda kitaa kuzunguka kidogo, wakati wa kurudi njiani nikakutana na baba yangu mdogo tukaja hadi home.

Kinachonikosesha amani ni kwamba huyo baba yangu mdogo alibeba mfuko wa mahitaji madogo madogo kutoka dukani ambapo tuliongozana wote akiwa anaubeba yeye.

Baada ya kufika nyumbani nikakumbuka kwamba kwanini sikumpokea ule mfuko?

Kisa cha pili kinachoniumiza kwa muda kila nikikikumbuka ni kwamba kuna siku (mwaka 2018) dereva alitupakiza kwenye piki piki (tupo wawili na dereva wa tatu) tukaja tukamkuta mother njiani tukampita; nyumbani kuna umbali wa kama dakika 10 kwa mguu.

Baada ya kufika home nikakumbuka kwanini sikushuka ili mama apande?

Kiukweli hii hali imekuwa ikinitokea kila mara ambapo inanikosesha amani. Hata nikisahau kidogo ila nikimwona huyo mtu najikuta nakosa amani na kujiona kwamba nimemkosea sana.
 
Hornet said:
mambo madogo madogo unajibebesha mizigo isiyo ya lazima.
mie unaweza kunisalimia asubuhi nikakumbuka jioni
😵 😵 unahisi tatizo huwa ni nini?
 
Kuna mambo kidogo hayako sawa. Je, huyo baba mdogo aweza kuwa baba kwako? Baba yako mzazi yuko wapi? Nahisi huenda una sehemu kubwa na huyu baba mdogo. Huwezi ulizia lakini mamako anafahamu hiyo sababu. Wamama wana siri nyingi tu ambazo hawatuambii
 
Back
Top Bottom