Hii hali inanitisha, ni dengu au?

Hii hali inanitisha, ni dengu au?

Bakulutu

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2011
Posts
2,557
Reaction score
1,787
Jamani wandugu, hii ni sku ya 3, kila ni kila natapika na mara nyingine navulimia kwa tabu mpaka usingizi unichukue..ila kichwa hakiumi...yaweza kuwa ni dengu ? hebu naomba mwenye dalili zake aniweke hapa tafadhali.

Aksanteni.
 
uwekewe ili iweje mkuu??..
madaktari hospitalini wanakazi gani kama ungekua unagoogle dalili na kujitibu?

wabongo ndio maana tunakufa hovyo!!..wenzetu njee asipo ona choo siku moja tu ni shidah!!...wewe unasubiri mpaka utapike utumbo afu ujee uulize huku jf dalili ndo uende!!..

huu si ubazazi huu!!
 
sio hivyo mkuu, juzi nilikula korosho, sasa nikadhani labda zime ni chafua tumbo coz kuna kipindi cha nyuma zilishawahi ni haribia pozi, sasa naona bado hali hai badiliki ndio nasubiri j3 niende hospital ila pia sio mbaya kupata ushari kwa ma Dk. wa hapa..

Na pia hizi dalili zikiwekwa hapa sio kwa ajili yangu tuu, kwani sio wote wana ufahamu huu ugonjwa mpaka sasa..wengi wanaona kama upepo utapita tuu,...
 
Back
Top Bottom