Abdallah Wa Mchinga
Member
- Jun 14, 2015
- 9
- 3
Hivi hii serikali yetu inajali sekta ya elimu kweli,yapo mengi lakini kwa leo nazungumzia kuhusu SELECTIONs ZA WADOGO ZETU Wanaotarajia kuingia kidato cha 5 Julai mwaka huu.Yaani hadi leo hakijaeleweka chochote..ukizingatia kunahitajika maandalizi ya kutosha...Je,tuendelee kujipa moyo au kuna njia mbadala?