Hii hali siyo,wanajamvi tujadili hili swala.

Joined
Jun 14, 2015
Posts
9
Reaction score
3
Hivi hii serikali yetu inajali sekta ya elimu kweli,yapo mengi lakini kwa leo nazungumzia kuhusu SELECTIONs ZA WADOGO ZETU Wanaotarajia kuingia kidato cha 5 Julai mwaka huu.Yaani hadi leo hakijaeleweka chochote..ukizingatia kunahitajika maandalizi ya kutosha...Je,tuendelee kujipa moyo au kuna njia mbadala?
 
we jiandae kana kwamba tayari umeona post na umepass ili hata yakitoka uwe ilijiandaa mapema.
 

Hili jambo limeanza kuwa kero, haiwezekani kukawa kimya mpaka sasa hivi.
 
Kesho Jamani Ndio Tarehe Yenyewe Hivyo Tujaribu Kuwa Wavumilivu Tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…