Hii hapa app ya kuongeza likes FBPia Like na followers instagram

mwisho wa yote, likes na followers hawaongezi chcht kwenye uchumi wa mtu.
 
Hujui kitu wwe likes wa FB page na followers wanalipa endapo umeconnect page yako na Payment details kijana unajikuta mjanja kumbe akili hamna
 
acha ubwege.
ingekuwa hvy kila mtu angepata mkwanja kiulaini, mitandao mikubwa kama hy inajua fake/real likes na followers. mfano twitter walishawah kuondoa followers fake hy ishu ikampata Barack Obama, MBUZI WE....
 
Ng'ombe bikra wwe au unataka hadi nikuoneshe payment details? Acha mambo ya ajabu kujikuta mjuaji ndama wwe
Kama huna akili ya kujiongeza ndo unadhani kila mtu mtakuwa sawa? Endelea kushinda FB bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…