Decoder za Malawi au Uganda zinapatikanaje hapa Tanganyika?.Habari zenu wakubwa!!
Kuna kitu natamani kuelimishwa, mimi ni mtumiaji wa Azam tv, huku kwetu tunauziwa Tsh 99,000 complete but without any package ang Tsh 55,000 Dekoda pekee without any package
Unalazimika kununua package ya Tsh 28,000 ili iweze kufunguliwa baada ya kununua
Ila sasa kuna hizi Azam tv kutoka Uganda & Malawi hizi ndio naweza kuzisemea coz nimezitumia, ukinunua Dekoda mpya kwa wanaziuza hapa kwetu ni Tsh 55,000 but inakua na package ya mwezi mzima tena inafungua channel zote kabisa
Na malipo yake kwa mwezi ni tofauti na kwetu
Tanzania kuna package za
Tsh 35000
Tsh 28000
Tsh 19000
Tsh 12000
Wakati Malawi ni
Mk 15000
Mk 10000
Mk 4500
Mk 2500
Na lazima ujue hizi kwacha ni nfogo uki convert na pesa yetu
Sasa kwanini sisi tunalipia pesa nyingi sana wakati huduma ni ileille kwa wote!!
Mwisho wa Siku ukihitaji Unafuu kwenye package switch kwenda Malawi or Uganda
Habari zenu wakubwa!
Kuna kitu natamani kuelimishwa, mimi ni mtumiaji wa Azam TV, huku kwetu tunauziwa Tsh 99,000 complete but without any package ang Tsh 55,000 Dekoda pekee without any package.
Unalazimika kununua package ya Tsh 28,000 ili iweze kufunguliwa baada ya kununua.
Ila sasa kuna hizi Azam tv kutoka Uganda & Malawi hizi ndio naweza kuzisemea coz nimezitumia, ukinunua Dekoda mpya kwa wanaziuza hapa kwetu ni Tsh 55,000 but inakua na package ya mwezi mzima tena inafungua channel zote kabisa.
Na malipo yake kwa mwezi ni tofauti na kwetu. Tanzania kuna package za
Tsh 35000
Tsh 28000
Tsh 19000
Tsh 12000
Wakati Malawi ni
Mk 15000
Mk 10000
Mk 4500
Mk 2500
Na lazima ujue hizi kwacha ni nfogo uki convert na pesa yetu.
Sasa kwanini sisi tunalipia pesa nyingi sana wakati huduma ni ileille kwa wote!!
Mwisho wa Siku ukihitaji Unafuu kwenye package switch kwenda Malawi or Uganda
Zipo nyingi tu, njoo inboxDecoder za Malawi au Uganda zinapatikanaje hapa Tanganyika?.
Pia utaratibu wa kulipia vifurushi kwenye hizo decoder za Malawi au Uganda kwa mtu aliyeko Tanganyika ukoje?
NImewaza hivyo piaHiyo ni marketing approach anayotumia Azam kujipenyeza kwenye soko jipya
Sawa mkuuLearn ABC za biashara utaelewa
So now wanawajaza kwenye mfumo kwanza raia afu wakishalizoea soko wanaanza kuwakamua kama sisi huku right?!Hiyo ni marketing approach anayotumia Azam kujipenyeza kwenye soko jipya
Huenda ila sana sana nadhani ni kodiSo now wanawajaza kwenye mfumo kwanza raia afu wakishalizoea soko wanaanza kuwakamua kama sisi huku right?!
Tozo za MamaHii ni mbinu ya kibiashara?
Achana na mambo ya inbox, ni official? Manake kama sio official changamoto za kimalipo zitakuwa mingi sana, nazijua na shida zake ni changamoto za kimalipo.Zipo nyingi tu, njoo inbox
Dekoda ni official but registered in Malawi, malipo saivi sio shida japo sio kama hizi zetuAchana na mambo ya inbox, ni official? Manake kama sio official changamoto za kimalipo zitakuwa mingi sana, nazijua na shida zake ni changamoto za kimalipo.
Weka kwenye madaZipo nyingi tu, njoo inbox
sema Tanzania, kusema Tanganyika unaleta uchokoziDecoder za Malawi au Uganda zinapatikanaje hapa Tanganyika?.
Pia utaratibu wa kulipia vifurushi kwenye hizo decoder za Malawi au Uganda kwa mtu aliyeko Tanganyika ukoje?
16000 kifurushi cha 35000 bongoHiyo ya malawi unyama sana, vifurushi vyake chee tu
Kwacha unaipataje ili ulipe?16000 kifurushi cha 35000 bongo