Hii hapa michongo ya financial market inayoweza kukufanya utoboe kimaisha bila hata connection wala mafuta ya upako

Joined
Jul 19, 2021
Posts
15
Reaction score
52
Moja kati ya sehemu ambazo Kwasasa zina fursa Kibao ambazo zinaweza kukufanya ukatoboa.
.
BILA Hata kusota Wa kuteseka.

Ni pamoja na Financial Market 🇹🇿
.
Na Good News...
.
ni Kwamba Kwasasa Financial Market ya Bongo imeendelea kuongeza Wigo Wa Fursa na Michongo Ambayo unaweza Kukamatia na kuweza kufaidika yano.
.
Na...
.
Miongoni mwa Sehemu Rahisi Zaidi Ambayo unaweza Kuanza nayo Kuwekeza
.
Hata kama Huna uzoefu wowote ULE

ni pamoja na mifuko ya pamoja.

mifuko ya Uwekezaji Wa pamoja ni Moja ya sehemu Rahisi na salama Zaidi Kuwekeza...huhitaji utaalumu mwingi ili Kuwekeza sehemu hii.
.
.....Na mpaka Sasa Tayari Kuna mifuko Kibao Tu Ambayo unaweza Kuwekeza na Kujipata faida nzuri Kila Mwezi au Kila mwaka.
.
Ambapo Hadi sasa kuna mifuko takriban 15 ya Uwekezaji Wa pamoja ambayo unaweza Kuwekeza na Kuanza Kujipata Faida Yako Kila Mwezi au Kila mwaka
.
Mifuko Hiyo ni pamoja na :
.
1. Mifuko 6 Ya UTT AMIS
.
2. Mfuko wa Halal -Alpha Capital Securities
.
3. Mfuko wa Inuka money market fund -Orbit Securities
.
4. Mfuko wa Timiza - Zan Securities
.
5. Mfuko wa Faida Fund- Watumishi Housing Investment
.
6. Mifuko 5 Ya I -Trust Finance Ltd
.
7. Mifuko 2 ya Sanlam Investments
.
Lakini pia...
.
Sehemu Nyingine Rahisi ya Kuwekeza ukiachilia mbali Mifuko ya Uwekezaji Wa pamoja ni.... ni Uwekezaji Katika Hatifungani
.
Hatifungani ni miongoni mwa sehemu Nyingine salama ya Kuwekeza na Kujipata Faida nzuri Ya Hadi 15.95% Kwa mwaka
.
Na...
.
Hadi Sasa tayari Kuna hatifungani NYingi tu Za serikali pamoja na za makampuni
.
Ambapo Kwenye Hatifungani za makampuni kuna:
.
1. Hatifungani za benki ya Crdb (Samia infrastructure bond & Kijani bond)
.
2. Hatifungani za benki ya NMB ( Jasiri & Jamii Bond)
.
3. Hatifungani ya Azania benki - Bond Yangu
.
4. Hatifungani ya benki ya Nbc -Twiga bond
.
5. Hatifungani ya benki ya KCB -Sukuk/Islamic
.
Na...
.
Kwa upande wa hatifungani za serikali Kuna aina mbili za Hatifungani kulingana na ukomo Wa muda:
.
1. Hatifungani za mda mrefu ( T bond)
.
2. Hatifungani za Muda mfupi ( T bills)
.
Na tukiachana na Hatifungani
.
.....Sehemu Yengine Konki Zaidi Yenye Faida Babu Kubwa Kwenye Financial Market ni Uwekezaji Katika Hisa.
.
Especially Uwekezaji Katika Hisa ambazo zipo listed Kwenye soko la Hisa
.
Ambapo...
.
Kupitia Uwekezaji Katika Hisa unajipata Faida Kubwa ya Ongezeko la Mtaji
.
Pamoja na Kujipatia Gawio Lako Kila mwaka
.
Na Kwasasa Tayari Kuna jumla ya makampuni 28 ambayo Yapo listed Kwenye soko la Hisa Dse ..
.
Ambayo unaweza Kuwekeza na Kuanza Kujipata Faida
.
Na baadhi ya MaKampuni Ambayo unaweza Kuwekeza ni pamoja na:
.
Dse yenyewe, Nicol ,Afriprise, Nmb, Crdb, Vodacom, TBL, KCB, Twiga cement, Simba cement,
.
Mkombozi commercial benki TCC, DCB, Maendeleo bank PLC, Tanzania Tea parkers pamoja na makampuni mengine Kibao
.
ILA ...
.
Kitu Mhimu Cha kuzingatia Sana Kabla Kuwekeza Kwenye Financial Market..._
.
Nikufanya utafiti na jifunza kiundani Ili kufahamu sehema unayoenda Kuwekeza Pesa zako ipoje?
.
Na..
.
Good News ni Kwamba kama unatafuta sehemu nzuri ya Kujifunzia Masuala haya ya Uwekezaji Katika Hisa, Hatifungani pamoja na Uwekezaji Wa pamoja
.
Basi Gusa Link kupata ya Uwekezaji Katika Hisa Ebook

See you Soon!
..
Hasta la Vista
.
Habakuki Hussen
.
Contact +255676147714
 
Uwe na mtaji Sasa mkuu, vizuri sana!
 
Biashara za 15% profit per year nitazifanya nikifikisha 200,000,000 kwenye kibubu, ambayo haidaiwi na yeyote, otherwise kuweka kamtaji kako ka 200,000=3,000,000 ni kupoteza muda, na akili.
Ni uchizi milioni mbili ukiizungusha mitaani humu inauwezo wa kujidouble within short time
 
Huko kwengine sijafuatilia sana ila kutoboa kupitia utt ni uongoo
Kule inatakiwa uwe na hela ambayo huitumii uweke humo na kila baada ya mwaka mmoja unapata faida ya 13% kushuka chini.
Sasa niambie ikiwa huna kazi alafu unayo milioni 2 mfano, ukiziweka humo utapata ongezeko la laki 1 na arobaini.

Je, ungezungusha milioni zako 2 huku mtaani ungekosa hiyo laki moja na elfu arobaini?
Ili uone faida ya hiki kitu inatakiwa utupe humo hela nyingi huku mishe zako mtaani zikisonga....weka humo angalau milioni 100 ili kwa mwaka uweze kupata faida ya milioni 10
 
Moja kati ya sehemu ambazo Kwasasa zina fursa Kibao ambazo zinaweza kukufanya ukatoboa.
.
BILA Hata kusota Wa kuteseka.

Ni pamoja na Financial Market 🇹🇿
.
Na Good News...
.
ni Kwamba Kwasasa Financial Market ya Bongo imeendelea kuongeza Wigo Wa Fursa na Michongo Ambayo unaweza Kukamatia na kuweza kufaidika yano.
.
Na...
.
Miongoni mwa Sehemu Rahisi Zaidi Ambayo unaweza Kuanza nayo Kuwekeza
.
Hata kama Huna uzoefu wowote ULE

ni pamoja na mifuko ya pamoja.

mifuko ya Uwekezaji Wa pamoja ni Moja ya sehemu Rahisi na salama Zaidi Kuwekeza...huhitaji utaalumu mwingi ili Kuwekeza sehemu hii.
.
.....Na mpaka Sasa Tayari Kuna mifuko Kibao Tu Ambayo unaweza Kuwekeza na Kujipata faida nzuri Kila Mwezi au Kila mwaka.
.
Ambapo Hadi sasa kuna mifuko takriban 15 ya Uwekezaji Wa pamoja ambayo unaweza Kuwekeza na Kuanza Kujipata Faida Yako Kila Mwezi au Kila mwaka
.
Mifuko Hiyo ni pamoja na :
.
1. Mifuko 6 Ya UTT AMIS
.
2. Mfuko wa Halal -Alpha Capital Securities
.
3. Mfuko wa Inuka money market fund -Orbit Securities
.
4. Mfuko wa Timiza - Zan Securities
.
5. Mfuko wa Faida Fund- Watumishi Housing Investment
.
6. Mifuko 5 Ya I -Trust Finance Ltd
.
7. Mifuko 2 ya Sanlam Investments
.
Lakini pia...
.
Sehemu Nyingine Rahisi ya Kuwekeza ukiachilia mbali Mifuko ya Uwekezaji Wa pamoja ni.... ni Uwekezaji Katika Hatifungani
.
Hatifungani ni miongoni mwa sehemu Nyingine salama ya Kuwekeza na Kujipata Faida nzuri Ya Hadi 15.95% Kwa mwaka
.
Na...
.
Hadi Sasa tayari Kuna hatifungani NYingi tu Za serikali pamoja na za makampuni
.
Ambapo Kwenye Hatifungani za makampuni kuna:
.
1. Hatifungani za benki ya Crdb (Samia infrastructure bond & Kijani bond)
.
2. Hatifungani za benki ya NMB ( Jasiri & Jamii Bond)
.
3. Hatifungani ya Azania benki - Bond Yangu
.
4. Hatifungani ya benki ya Nbc -Twiga bond
.
5. Hatifungani ya benki ya KCB -Sukuk/Islamic
.
Na...
.
Kwa upande wa hatifungani za serikali Kuna aina mbili za Hatifungani kulingana na ukomo Wa muda:
.
1. Hatifungani za mda mrefu ( T bond)
.
2. Hatifungani za Muda mfupi ( T bills)
.
Na tukiachana na Hatifungani
.
.....Sehemu Yengine Konki Zaidi Yenye Faida Babu Kubwa Kwenye Financial Market ni Uwekezaji Katika Hisa.
.
Especially Uwekezaji Katika Hisa ambazo zipo listed Kwenye soko la Hisa
.
Ambapo...
.
Kupitia Uwekezaji Katika Hisa unajipata Faida Kubwa ya Ongezeko la Mtaji
.
Pamoja na Kujipatia Gawio Lako Kila mwaka
.
Na Kwasasa Tayari Kuna jumla ya makampuni 28 ambayo Yapo listed Kwenye soko la Hisa Dse ..
.
Ambayo unaweza Kuwekeza na Kuanza Kujipata Faida
.
Na baadhi ya MaKampuni Ambayo unaweza Kuwekeza ni pamoja na:
.
Dse yenyewe, Nicol ,Afriprise, Nmb, Crdb, Vodacom, TBL, KCB, Twiga cement, Simba cement,
.
Mkombozi commercial benki TCC, DCB, Maendeleo bank PLC, Tanzania Tea parkers pamoja na makampuni mengine Kibao
.
ILA ...
.
Kitu Mhimu Cha kuzingatia Sana Kabla Kuwekeza Kwenye Financial Market..._
.
Nikufanya utafiti na jifunza kiundani Ili kufahamu sehema unayoenda Kuwekeza Pesa zako ipoje?
.
Na..
.
Good News ni Kwamba kama unatafuta sehemu nzuri ya Kujifunzia Masuala haya ya Uwekezaji Katika Hisa, Hatifungani pamoja na Uwekezaji Wa pamoja
.
Basi Gusa Link kupata ya Uwekezaji Katika Hisa Ebook

See you Soon!
..
Hasta la Vista
.
Habakuki Hussen
.
Contact +255676147714
Shukrani kwa habari njema 🙏🙏🙏
 
Somo zuri nasubiri calculations

Mfano umenunua Treasury bond kwa miaka kumi yenye thamani ya Tzs 200,000,000mio, je interest rate ni ngapi ? Wanatoa coupon rate nayo ni ngp ? Wanalipa at once annually au ni semi annually?

Hakuna sababu nyinginezo zitakazo athiri kupata principal amount plus interest amount baada ya miaka kumi ?

Vipi kuhusu issue za tax, insurance, ama inflation rate haziingii hapa ?

Liverpool VPN
 
Mtoa mada anajua maana ya haya maneno
1. Real Interest Rate
2. Nominal Interest Rate

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Moja kati ya sehemu ambazo Kwasasa zina fursa Kibao ambazo zinaweza kukufanya ukatoboa.
.
BILA Hata kusota Wa kuteseka.

Ni pamoja na Financial Market 🇹🇿
.
Na Good News...
.
ni Kwamba Kwasasa Financial Market ya Bongo imeendelea kuongeza Wigo Wa Fursa na Michongo Ambayo unaweza Kukamatia na kuweza kufaidika yano.
.
Na...
.
Miongoni mwa Sehemu Rahisi Zaidi Ambayo unaweza Kuanza nayo Kuwekeza
.
Hata kama Huna uzoefu wowote ULE

ni pamoja na mifuko ya pamoja.

mifuko ya Uwekezaji Wa pamoja ni Moja ya sehemu Rahisi na salama Zaidi Kuwekeza...huhitaji utaalumu mwingi ili Kuwekeza sehemu hii.
.
.....Na mpaka Sasa Tayari Kuna mifuko Kibao Tu Ambayo unaweza Kuwekeza na Kujipata faida nzuri Kila Mwezi au Kila mwaka.
.
Ambapo Hadi sasa kuna mifuko takriban 15 ya Uwekezaji Wa pamoja ambayo unaweza Kuwekeza na Kuanza Kujipata Faida Yako Kila Mwezi au Kila mwaka
.
Mifuko Hiyo ni pamoja na :
.
1. Mifuko 6 Ya UTT AMIS
.
2. Mfuko wa Halal -Alpha Capital Securities
.
3. Mfuko wa Inuka money market fund -Orbit Securities
.
4. Mfuko wa Timiza - Zan Securities
.
5. Mfuko wa Faida Fund- Watumishi Housing Investment
.
6. Mifuko 5 Ya I -Trust Finance Ltd
.
7. Mifuko 2 ya Sanlam Investments
.
Lakini pia...
.
Sehemu Nyingine Rahisi ya Kuwekeza ukiachilia mbali Mifuko ya Uwekezaji Wa pamoja ni.... ni Uwekezaji Katika Hatifungani
.
Hatifungani ni miongoni mwa sehemu Nyingine salama ya Kuwekeza na Kujipata Faida nzuri Ya Hadi 15.95% Kwa mwaka
.
Na...
.
Hadi Sasa tayari Kuna hatifungani NYingi tu Za serikali pamoja na za makampuni
.
Ambapo Kwenye Hatifungani za makampuni kuna:
.
1. Hatifungani za benki ya Crdb (Samia infrastructure bond & Kijani bond)
.
2. Hatifungani za benki ya NMB ( Jasiri & Jamii Bond)
.
3. Hatifungani ya Azania benki - Bond Yangu
.
4. Hatifungani ya benki ya Nbc -Twiga bond
.
5. Hatifungani ya benki ya KCB -Sukuk/Islamic
.
Na...
.
Kwa upande wa hatifungani za serikali Kuna aina mbili za Hatifungani kulingana na ukomo Wa muda:
.
1. Hatifungani za mda mrefu ( T bond)
.
2. Hatifungani za Muda mfupi ( T bills)
.
Na tukiachana na Hatifungani
.
.....Sehemu Yengine Konki Zaidi Yenye Faida Babu Kubwa Kwenye Financial Market ni Uwekezaji Katika Hisa.
.
Especially Uwekezaji Katika Hisa ambazo zipo listed Kwenye soko la Hisa
.
Ambapo...
.
Kupitia Uwekezaji Katika Hisa unajipata Faida Kubwa ya Ongezeko la Mtaji
.
Pamoja na Kujipatia Gawio Lako Kila mwaka
.
Na Kwasasa Tayari Kuna jumla ya makampuni 28 ambayo Yapo listed Kwenye soko la Hisa Dse ..
.
Ambayo unaweza Kuwekeza na Kuanza Kujipata Faida
.
Na baadhi ya MaKampuni Ambayo unaweza Kuwekeza ni pamoja na:
.
Dse yenyewe, Nicol ,Afriprise, Nmb, Crdb, Vodacom, TBL, KCB, Twiga cement, Simba cement,
.
Mkombozi commercial benki TCC, DCB, Maendeleo bank PLC, Tanzania Tea parkers pamoja na makampuni mengine Kibao
.
ILA ...
.
Kitu Mhimu Cha kuzingatia Sana Kabla Kuwekeza Kwenye Financial Market..._
.
Nikufanya utafiti na jifunza kiundani Ili kufahamu sehema unayoenda Kuwekeza Pesa zako ipoje?
.
Na..
.
Good News ni Kwamba kama unatafuta sehemu nzuri ya Kujifunzia Masuala haya ya Uwekezaji Katika Hisa, Hatifungani pamoja na Uwekezaji Wa pamoja
.
Basi Gusa Link kupata ya Uwekezaji Katika Hisa Ebook

See you Soon!
..
Hasta la Vista
.
Habakuki Hussen
.
Contact +255676147714
watzania hauwezi kuwaona kwenye habari km hizi ila weka habari za uchawi na imani za kukupatia pesa kimiujiza, michezo ya kubeti sijui Aziz ki anatoka na nani Dayamondi katoa goma jipya....uko lazma uzi utembee kwa spidi ya upepo 🤣
 
Back
Top Bottom