Hii hapa Ratiba ya NBC PL itakayoanza kutimua vumbi Agost 15, 2023

Ila ni kwanini Yanga anachelewa sana kuanza ligi?
 
Bora ligi ianze tumechoka ramli chonganishi toka kwa vilaza wa mchezo wa mpira ili zijulikane mbivu na mbichi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…