Hii hapa Siri ya amani ya ndoa Yako, kama umeikosea basi usitarajie miujiza

Hii hapa Siri ya amani ya ndoa Yako, kama umeikosea basi usitarajie miujiza

Kifulu

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2021
Posts
557
Reaction score
2,064
Katika maisha Mungu ana kanuni ya kukupa yule unaefanana nae, hata kama unafanya mambo kwa Siri kiasi gani jua kabisa ulienae unafanana nae.

Kama wewe ulikuwa mzinzi fahamu kuwa upo na mzinzi

Kama ulikuwa mlevi fahamu kuwa upo na mlevi ila anakulia tyming

Kama ulikuwa mchamungu na mtenda mema basi tambua upo na mtu mwema.

Huwezi kuwa muharibifu alafu ukapata kitu Cha Thamani hapana..

Kama unataka mtu Sahihi basi wewe Anza kuwa Sahihi principles za Mungu haziongopi.
 
Back
Top Bottom