Yaani unatafuta kitu mpk unataka kulia unakuta kila unae muuliza eti ajui
Yaani kero tupu ukute kwa muda huo ndo kina umuhimu
Nilishatafuta Cheti cha form four nilkua nataka nikakitoe kopi kwa ajiri ya Veta aisee nilitafuta kama lisaa hivi kumbe nilikua nmekishika mkononi
Nilitaka kukichana nilivyojua kumbe nilikua nacho muda wote huo...
kamba za viatu,aisee nilitafuta zaidi ya nusu saa nikapata bwana,,hii kuangalia kumbe ipo kamba moja,,,
Nikaanza kuitafuta nyingine,kumbe mtoto kaifunga kwenye toi la gari yake semitrailer anaendesha huko nje,,,dah,,,,
Nikiwa class 10.... Niliwahi kufungua zip ili nichululu, ikawa haifunguki. Basi nilipo amua kuachia kojo, nikagundua kumbe nilikua naota, hiyo ni baada ya kusikia nimelalia maji yalio mwagika.
Wacha niimbiwe, kikojozi...[emoji445] [emoji445]
Chalia...[emoji444] [emoji444]
Kundumbwe ndumbwe...[emoji442] [emoji442]
Chalia...... [emoji449] [emoji449]
Ilikua noma sana haki....[emoji23] [emoji23] [emoji23]