Hii harrier inakwaza. kiutendaji.

Hii harrier inakwaza. kiutendaji.

lubamba

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2015
Posts
947
Reaction score
614
Wataalamu karibuni mniondolee tatizo.Namilki kiharrier changu ila kinanikwazwa niwapo safarini.Nikiapply ac ktk kipindi baada ya nusu saa hv taa ya low oil pressure inajitokeza dashboard.Nikiizima hiyo ac naendelea na mwendo bila engine kutikisika wala sauti na hiyo taa ya oil pressure inazimika.Nilienda kwa fundi akafungua sump na kusafisha chujio lakini bado tatixo ni lilelile.Naomba maprof wa 5s engine mnisaidie maana naona maisha ya kiusafiri changu yanakaribia mwisho.
 
Peleka kwa wataalam wafanye diagnosis kiutaalam utajua tatizo
 
Back
Top Bottom