Hii harusi isijekuwa kama ile ya Mganga wa kienyeji Buberwa iliyorushwa mubashara na TBC

Hii harusi isijekuwa kama ile ya Mganga wa kienyeji Buberwa iliyorushwa mubashara na TBC

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Sema hii iko mubashara Clouds tv

Pale meza Kuu wanaonekana kuchoma ni hero Dr Cheni awaruhusu wakapumzike

Nakumbuka Buberwa alidondoka kwa uchovu dakila za lala salama

Ni ushauri tu!
 
wewe umeolewa?
By the way Buberwa ni nani,nikumbushe
Ni Marehemu hivi sasa, Mzee wa Dental Formula Power (DFP) na products zingine.

Kifo chake kiliingia utata sana hasa kwasababu alikuwa na migogoro ya Mali na mkewe Riziki, na pia mwishoni afya yake ilizorota sana

Pia alijiita Nabii na Mtabiri wa nyakati za mwisho.
 
Back
Top Bottom