J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Jul 16, 2022 #1 Sema hii iko mubashara Clouds tv Pale meza Kuu wanaonekana kuchoma ni hero Dr Cheni awaruhusu wakapumzike Nakumbuka Buberwa alidondoka kwa uchovu dakila za lala salama Ni ushauri tu!
Sema hii iko mubashara Clouds tv Pale meza Kuu wanaonekana kuchoma ni hero Dr Cheni awaruhusu wakapumzike Nakumbuka Buberwa alidondoka kwa uchovu dakila za lala salama Ni ushauri tu!
R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 44,629 Reaction score 83,056 Jul 17, 2022 #2 johnthebaptist said: Sema hii iko mubashara Clouds tv Pale meza Kuu wanaonekana kuchoma ni hero Dr Cheni awaruhusu wakapumzike Nakumbuka Buberwa alidondoka kwa uchovu dakila za lala salama Ni ushauri tu! Click to expand... wewe umeolewa? By the way Buberwa ni nani,nikumbushe
johnthebaptist said: Sema hii iko mubashara Clouds tv Pale meza Kuu wanaonekana kuchoma ni hero Dr Cheni awaruhusu wakapumzike Nakumbuka Buberwa alidondoka kwa uchovu dakila za lala salama Ni ushauri tu! Click to expand... wewe umeolewa? By the way Buberwa ni nani,nikumbushe
Azarel JF-Expert Member Joined Aug 25, 2016 Posts 28,916 Reaction score 40,479 Jul 17, 2022 #3 Retired said: wewe umeolewa? By the way Buberwa ni nani,nikumbushe Click to expand... Ni Marehemu hivi sasa, Mzee wa Dental Formula Power (DFP) na products zingine. Kifo chake kiliingia utata sana hasa kwasababu alikuwa na migogoro ya Mali na mkewe Riziki, na pia mwishoni afya yake ilizorota sana Pia alijiita Nabii na Mtabiri wa nyakati za mwisho.
Retired said: wewe umeolewa? By the way Buberwa ni nani,nikumbushe Click to expand... Ni Marehemu hivi sasa, Mzee wa Dental Formula Power (DFP) na products zingine. Kifo chake kiliingia utata sana hasa kwasababu alikuwa na migogoro ya Mali na mkewe Riziki, na pia mwishoni afya yake ilizorota sana Pia alijiita Nabii na Mtabiri wa nyakati za mwisho.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Jul 17, 2022 #4 Kila la kheri zao...