Ngozi haina tabiaNgoja wamtoe ili jirani astuke ajue haki aibiwi.
Alifungwa kwa makosa yake, pia hata Mbowe akifungwa ni kwa makosa yanayojulikana, kwa Bob wine nitofauti, yeye hajafungwa yuko kashikiliwa bila sabauIvi Sugu hawakusikia kuwa kafungwa?
Ukoloni mnautaka wenyewe kwa wenyewe. Kwa mtindio wa ubongo mulio nao msitegemee wazungu kuja kuwatengenezea mazingira mazuri hata siku moja. Pambaneni na hari zenu. Msitafute wakoloni kuja kuwaunganisha. Shwaini kabisa.Magufuli Badly Shaken By Bobi Wine Developments
Siasa ni sehemu ya maisha,maamuzi ya wanasiasa uathiri mfumo mzima wa maisha,utake usitake utalazimishwa kuongelea siasa tu,pale nyumba yako itakapobomolewa ulale nje,fukuzwa shule,bei ya sukari,mafuta,nauli kupanda,kuzuiliwa kuuza nje mazao yako,foleni mijini. NkBara la Africa na bara la Asia pamoja na Nchi za Falme za kiarabu (Middle East),hakuna Siasa wala cha Democrasia.
Isipokua Siasa ipo tu kama imewekwa kiushahidi tu.Lakini kiuhalisia zaidi hakuna Siasa wala Democrasia ya ukweli.
Ni bora tungeshughulika na mijadala mengine kuliko kupotezeana Muda kwa kujadili Siasa au Democrasia[emoji1321]ββοΈ
Dawa ya kotapini ni nyundo,asiposoma alama za nyakati yatamkuta ya ghadafi,gabgo,idd amini, huwa wanaelewa wakishachelewa.Hiyo inaitwa KOTAPIN! ikiingia inagongwa na ikitoka lazima igongwe..sasa dogo ndo mgongajiππ
ππDawa ya kotapini ni nyundo,asiposoma alama za nyakati yatamkuta ya ghadafi,gabgo,idd amini, huwa wanaelewa wakishachelewa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Siasa ni sehemu ya maisha,maamuzi ya wanasiasa uathiri mfumo mzima wa maisha,utake usitake utalazimishwa kuongelea siasa tu,pale nyumba yako itakapobomolewa ulale nje,fukuzwa shule,bei ya sukari,mafuta,nauli kupanda,kuzuiliwa kuuza nje mazao yako,foleni mijini. Nk
Sent using Jamii Forums mobile app