GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
3Timu yako ipo nafasi ya ngapi kwenye ligi?
Akikujibu nitag Mkuu.Sasa kama wenye timamu wako wawili wengine wote ni average na yanafanyika mak7bwa yote haya je ingekua wenye timamu wako 10 ingekuaje?
Rage yeye alisema wale wengine wooote ni mbumbumbu."Yanga SC wenye Akili timamu ni Watu Wawili tu Rais Mstaafu Mzee Kikwete na Baba yangu Mzee Manara na waliobaki wote hawana Akili kabisa" alisema Haji Manara Mwanachama wa Yanga SC, aliyekuwa Msemaji wa Yanga SC na Mhamasishaji Mkuu wa Yanga SC.
Kwa wanaotaka kumsikia Haji Manara akisema haya nendeni katika YouTube mkamsikie pale alipokuwa akihojiwa na East Africa Tv na EFM Radio..
GENTAMYCINE namalizia kwa Kuuliza kwanini hii Hospitali Kubwa duniani inataka kuingia Mkataba na Watu wasio na Akili ambao ni Yanga SC?
ANGALIZO
Hupendi utani achana na huu Uzi Ok?
Luc Eymael alisema utopolo wote ni nyaniRage yeye alisema wale wengine wooote ni mbumbumbu.
hiyo kauli haiwahusu hao wenye hiyo hospitali kubwa,kwani wao hawafanyii kazi vibwanga vya kwenye mitandao,wanafanyia kazi facts kuhusu ubora wa timu"Yanga SC wenye Akili timamu ni Watu Wawili tu Rais Mstaafu Mzee Kikwete na Baba yangu Mzee Manara na waliobaki wote hawana Akili kabisa" alisema Haji Manara Mwanachama wa Yanga SC, aliyekuwa Msemaji wa Yanga SC na Mhamasishaji Mkuu wa Yanga SC.
Kwa wanaotaka kumsikia Haji Manara akisema haya nendeni katika YouTube mkamsikie pale alipokuwa akihojiwa na East Africa Tv na EFM Radio..
GENTAMYCINE namalizia kwa Kuuliza kwanini hii Hospitali Kubwa duniani inataka kuingia Mkataba na Watu wasio na Akili ambao ni Yanga SC?
ANGALIZO
Hupendi utani achana na huu Uzi Ok?
aga khan nao ni utopolo tuu"Yanga SC wenye Akili timamu ni Watu Wawili tu Rais Mstaafu Mzee Kikwete na Baba yangu Mzee Manara na waliobaki wote hawana Akili kabisa" alisema Haji Manara Mwanachama wa Yanga SC, aliyekuwa Msemaji wa Yanga SC na Mhamasishaji Mkuu wa Yanga SC.
Kwa wanaotaka kumsikia Haji Manara akisema haya nendeni katika YouTube mkamsikie pale alipokuwa akihojiwa na East Africa Tv na EFM Radio..
GENTAMYCINE namalizia kwa Kuuliza kwanini hii Hospitali Kubwa duniani inataka kuingia Mkataba na Watu wasio na Akili ambao ni Yanga SC?
ANGALIZO
Hupendi utani achana na huu Uzi Ok?
Iache timu la wana timu la wananchi baki na wivu lako😁"Yanga SC wenye Akili timamu ni Watu Wawili tu Rais Mstaafu Mzee Kikwete na Baba yangu Mzee Manara na waliobaki wote hawana Akili kabisa" alisema Haji Manara Mwanachama wa Yanga SC, aliyekuwa Msemaji wa Yanga SC na Mhamasishaji Mkuu wa Yanga SC.
Kwa wanaotaka kumsikia Haji Manara akisema haya nendeni katika YouTube mkamsikie pale alipokuwa akihojiwa na East Africa Tv na EFM Radio..
GENTAMYCINE namalizia kwa Kuuliza kwanini hii Hospitali Kubwa duniani inataka kuingia Mkataba na Watu wasio na Akili ambao ni Yanga SC?
ANGALIZO
Hupendi utani achana na huu Uzi Ok?
hapana hii assumption yako ni mbovuHizi hospital , banks etc ni bora zingefanya sponsorship kwa vilabu kuliko kuwa na package kwa wanachama..naona kama impact yake ni ndogo maana mashabiki na wanachama wengi kuafford hata bima ndogo ndogo ni mtihani
Bora hao wako wawili wenye akili...kuliko wote kuwa mbumbumbuSasa kama wenye timamu wako wawili wengine wote ni average na yanafanyika makubwa yote haya je ingekua wenye timamu wako 10 ingekuaje?