Hii 'hug' matata ya Rais Uhuru Kenyatta na Zain Verjee(CNN) imeibua hisia nyingi sana mitandaoni

Kwa situation hio inaonekana tu Jamaa alienda kutindua baadae ila dah Odinga hana bahati siku zote naona ametumbua tu macho pembeni apo na sura yake nzito kama Uji
 
Wachache sana wanaoelewa hilo. Wakenya ni mapoyoyo kweli kweli usione tai zile na makoti ya mtumba ukadhani ni waelewa.
Zain Verjee ni public figure, famous sana Kenya. Kwasababu ni mwanahabari mkenya ambaye alifanikiwa kujenga jina CNN, kama tu Jeff Koinange. Kama wakenya sio waelewa sijui watz nao tutawaitaje.
 
Zain Verjee ni public figure, famous sana Kenya. Kwasababu ni mwanahabari mkenya ambaye alifanikiwa kujenga jina CNN, kama tu Jeff Koinange. Kama wakenya sio waelewa sijui watz tutawaitaje.
Mapunguani.
 
Uhuru ana shida nyingi Sana, kila Wizara ina fyonza hela, kiangazi na njaa kinazidi kule north Kenya ambapo mvua haijanyesha tangu mwanzo wa mwaka Jana, ufisadi kila mahali, alshabaab nao hawalali.... Kila mtu anamlaumu Kwa shida zinazo a hata kama si makosa yake... Kama yeye ni binadamu mwenye roho Safi lazima awe halali vizuri .... Kwahivyo mukimuona ana hug rafiki yake hivyo msiulize maswali mengi .... Sometimes you just need a really deep theraputic hug that goes to your soul ... Or else you gonna loose your shit cause the world don't make sense
 
Hapo sawa.
Kwa hiyo braza nakuunga mkono, ukiona shida kwa nyumba yako usijali nenda kwa jirani yako mdada halafu m-hug kiroho safi, naamini Mke wako atapata faraja, and thank me later!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wanasema anaitwa Uhunye πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Namkumbuka vizuri Zain Varjee akitangaza news pale KTN my channel my choice.
 
wa-KE ndugu zangu mmekula? manake nasikia huko kwenu hali mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…