Hii 'hug' matata ya Rais Uhuru Kenyatta na Zain Verjee(CNN) imeibua hisia nyingi sana mitandaoni

Tulia mkikuyu wangu watanzania hawakuelewi sema anayo mke na watoto siyo bibi.
Wewe ndio hujamuelewa, alikuwa anamaanisha kwamba hayo mambo yanafaa kufanyiwa bibi. Yaani bibi bibi, huyo mzee ni 'pervert'. [emoji38]
 
Hii meme kutoka S.Africa ni kali sana. Aisee, 'Uhunye' na mayellow yellow buana. Hahaha! πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Zain,amezaliwa kenya,anaongea kiswahili fasaha,kiingereza na kihindi
Kabla hajapata kazi kule CNN alikuwa anasoma habari kwenye kituo maarufu cha televisheni Kenya, KTN.
 
Kumbatio la furaha! Sijui ni yupi alitaka kumdandia mwenzie lakini wakakumbuka wako had hadharani.

 
Kumbatio la furaha! Sijui ni yupi alitaka kumdandia mwenzie lakini wakakumbuka wako had hadharani.
Kudandiana tena? [emoji15] Hey, watch it!!! [emoji1]
 
Reactions: BAK
Huyu bidada ni mrembo halafu anajipenda.

 
Kwa hug hilo unadhani Serikali ya Kenya itaandikwa au kusema vibaya huko CNN zaidi ya kupambwa na kufanya investors wa Ulaya na America kuja kwa wingi zaidi Kenya na pia Mr President kupata kitu kitamu kutoka kwa binti


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…