Kuunganisha ma-chuma, na mabati na motor na kuweka matairi ili ulichounda kitembee siyo tatizo. Tatizo ni usalama wa chombo chako kitakapokuwa barabara. Hutahatarisha usalama wa waliopanda chombo chako na watumiaji wengine wa barabara? Chombo chako kitakuwa na ubora na usalama wa kuruhusiwa kutembea barabarani? Ushauri wangu ni huu: unda kwanza bajaji moja, ifanyie majaribio mbugani huko, tena ya muda mrefu eg mwaka mmoja, ukiona kila kitu kipo sawa nenda shirika la kudhibiti ubora na viwango, na possibly kuna mamlaka nyingine za kupitia wakipitisha ndiyo ufanye unachotaka.Habar za Leo Wana forum...... Nilikuwa na wazo moja la kutengeneza Bajaj za umeme, ambapo Nina fabricate mwenyew kuanzia chases, electronics, mpk programing.
Baada ya bajaji kukamilika mchakato wa kutafuta madereva utaanza na taratbu ztafuatwa.
1.dereva atatakiwa kuripot kazn saa moja au mbili asubh kukabdhiw bajaji ikiwa full charged na serviced
2.dereva atatakiwa kurejesha Bajaj ofisin kuanzia saa Tatu mpk saa y usiku
3.hesabu ya dereva kwa siku ni 20k, service ni 5k
Lengo la kufanya hivi ni kutokan na ushindani wa kimasoko la kuuza bajaji pili kutengeneza ajira kwa vijan
Maoni yenu kweny hii idea tafadhli
Upo sahihi kabisa Mkuu,Kuunganisha ma-chuma, na mabati na motor na kuweka matairi ili ulichounda kitembee siyo tatizo. Tatizo ni usalama wa chombo chako kitakapokuwa barabara. Hutahatarisha usalama wa waliopanda chombo chako na watumiaji wengine wa barabara? Chombo chako kitakuwa na ubora na usalama wa kuruhusiwa kutembea barabarani? Ushauri wangu ni huu: unda kwanza bajaji moja, ifanyie majaribio mbugani huko, tena ya muda mrefu eg mwaka mmoja, ukiona kila kitu kipo sawa nenda shirika la kudhibiti ubora na viwango, na possibly kuna mamlaka nyingine za kupitia wakipitisha ndiyo ufanye unachotaka.
Dah majaribio akafanyie mbuganišKuunganisha ma-chuma, na mabati na motor na kuweka matairi ili ulichounda kitembee siyo tatizo. Tatizo ni usalama wa chombo chako kitakapokuwa barabara. Hutahatarisha usalama wa waliopanda chombo chako na watumiaji wengine wa barabara? Chombo chako kitakuwa na ubora na usalama wa kuruhusiwa kutembea barabarani? Ushauri wangu ni huu: unda kwanza bajaji moja, ifanyie majaribio mbugani huko, tena ya muda mrefu eg mwaka mmoja, ukiona kila kitu kipo sawa nenda shirika la kudhibiti ubora na viwango, na possibly kuna mamlaka nyingine za kupitia wakipitisha ndiyo ufanye unachotaka.
Kuna mambo huwa hayapaswi kuwekwa wazi hadi yatimie, hadi hapa ushapiga hatua moja ya kufeliUlitak niwekee nn.... Ili yasiwe manen matup