nyamakonge
JF-Expert Member
- May 28, 2013
- 363
- 131
Mkuu mbna matokeo yamefutwa tangu zaman?lkn hakuna jpya.kitarudi tu kwani baada ya matokeo kufutwa kila kitu kitakuwa na mabadiliko usihofu wewe subiri
Mkuu mbna matokeo yamefutwa tangu zaman?lkn hakuna jpya.
wanafunzi wa kdato cha 4 waloftiwa matokeo yao watarudishiwa fedha zao walzotumia as application fee ktka fan mblmbal za afya?zsiporudshwa znaenda wap?au watapewa 2nd chance ya kuapply kwa ktumia hyo fedha?naomba kuwaklisha wakuu