Hii ikoje: Analogi to digitali

Paul S.S

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2009
Posts
6,407
Reaction score
3,260
Nimekuwa nasikia kipindi sasa kuwa mfumo wetu wa kurusha matangazo kwa televisheni upo katika mchakato wa kupadilika kutoka analogi tulio nao sasa kwenda mfumo mpya wa digital, mfumo utakaofanya tv tunazo tumia sasa kushindwa kupokea mawimbi ya digitali kwavile tv hizi hupokea mawimbi ya analogi tu.
Na ukipita maduka ya kielektroniki utakuta tv hizi zinazidi kushuka bei kadri siku zinavyo kwenda.
Tume ya mawasiliano imeweka muda maalum kwa tv stasheni kuhakikisha hadi muda huo ziwe tayari kurusha digitali na si analogi tena.
Hebu nitoeni ushamba kidogo mbona tv hizi tukiwa na ving'amuzi tunakula machaneli ya nje kama cnn, supa spoti, bbc, emnet nk, kwa kutumia tv hizi hizi? hii inamaana wenzetu nao bado wanatumia analogi.
Napata shida kidogo kuelewa hasa baada ya kusikia tusinunue tena tv hizi kwani muda mfupi ujao zitageuka mabox yasio na kazi
 
CHIZICOMPUTER
0712484995
edjizzo@yahoo.com
digital ni mfumo wa usafilishaji ambao una tumia kiwango kikubwa cha technology ambao unasoma moja na zilo.
analog ni mfumo wa usafilishaji ambao utumia kiwango kidogo cha technology ambao usafirisha kwa mawimbi.

kwanini wa nafanya hivyo
kama utakuwa ume soma physics .mawambi ya range ambazo uzalisha vitu vingi mpaka na mifumo yote
kwa hiyo vyombo vimekuwa vingi ambavyo vina tumia mfumo huu na uleta interfiaRENCE ata uvuruga
kwa chama cha technology uko marekani na dunia kime amua mambo mengi ya ingie kwenye mfumo wa digital
kama itv leo ikiingia kwenye digital system kesho utaweza kuiona ata kwenye internet na popote
 
We dogo una idea, mi si mtaalamu wa hii maneno, lakini uwasilishaji wako unayumba!...hujatulia.
 

Mkuu nashukuru kwa ufafanuzi wako wa kitaalamu.
Tatizo langu mimi sielewi tu kuwa inabidi tutupe tv tulizo nazo ili tununue nyingine kupata hayo mawimbi ya digitali.
Swali kwanini tunadaka kupitia ving'amuzi chaneli za mbele kama cnn, bbc, ss, mnet nk,
Ndio nauliza inamaana nawao bado wanatumia analogi.
Kwataarifa nilizonazo ni kuwa wenzetu waliisha ingia ktk digitali kitambo
 
Siku hizi hata castle lager zaitwa ANALOGY wakati castle light ni DIGITAL.
 

Mtaalam nadhani uantaka utoa maelezo sahii lakini unakosea.

  • Kwamba digital techology inatumia kiwango kikubwa cha teknology kuliko Analog ni kauli tata.. Tumia maneno ya kitaalama ikiwezana changanya tu lugha tumia kizungu inawezekana unachotaka kusema hakiko katika kiswahili

  • Kwamba digital teknology inarekodi picha,sauti nad ata zote katika 0's na 1's ni kweli na kwamba Analog inarekodi data kaika mawaimbi inawezekana ni kweli.lakini hata hizo digital za 0's and 1's kumfikia mtazamaji lazima zisafiri kwenye mawimbi .kwa hiyo iwe ni digital au ni analog lazima itumie mawimbi ( wave) katika frequency( masafa) fulani kusafiri kutoka kwenye transmitter mpaka kwa TV receiver(mtumiaji)

  • Pia nadhani hata TV za analog zinaweza kupokea digital cast ikiwa tu wahusika watapeleka kwa wataalamu zifungwe kifaa maalum kama Modem/ corverter box au wenye TV za analog watatakiwa kununua kifaa hiki ambacho kabla mawimbi hayajaingia kwenye TV yanabadilishwa katika format inayoeleweka na TV.

  • Kwamba kuona TV kwenye internet au web mpaka iwe ina rusha/transmit matangazo yake lkwa digital sio kweli. streaming ya TV/radio kwenye web ni kitu tofauti kabisa haitegemei format ya matangazo yanayorushwa. ITV , TBCwakimuana kama wana utashi wa matangazo yao kkutaka kuonekna kwenye web wanaweza. labda ni gharama tu za bandwidth zinawatatiza na sio digital.

tembelea HowStuffWorks "Search" usome article mbali mbali ujue tofauti zaidi.
 

Still confused.
Nilimsikia aden rage kama mjumbe wa hiyo kitu akisema watu wapewe taarifa kuacha kununu tv analog maana punde yatakuwa mazalia ya mende
 
Still confused.
Nilimsikia aden rage kama mjumbe wa hiyo kitu akisema watu wapewe taarifa kuacha kununu tv analog maana punde yatakuwa mazalia ya mende

Ni sawa aden rage kuwshauri watu wanaonunua TV sasa hivi kuelezwa hivyo lakini naamin baada ya kusoma kuna Teknolojia inayoweza kuzifanya hata hizo zinazoitwa analog TV ziendelee kupokea mataganzo ya Digital. kama umepata muda wa kubofya hiyo link niliyokupa juu thea utaelewa. kwa hiyo si sahihi kusema Tv za analog zitakuwa mazalia ya mende

  • Changing signal from digital to analog au analog to dgital ni teknolojia ipo siku nyingi.

  • Kwenye kompyuta utakuwa unasikiasikia kifaa kinaitwa Modem (modulator/demodulator) Uki google utaona kazi yake hasa ni kubadlisa signal za digital kwenda analog au ananalog kwenda digital. Soma maelezo haya utaelewa zaidi What is modem? - A Word Definition From the Webopedia Computer Dictionary. Inagwa mfano huu unaongelea interface kati ya kompyuta na modem nadhani kuna njia ipo kuunganisha/kuinterface kifaa aina modem na TV
So naamin hata kwenye TV za analog kifaa cha aina hii kinaweza kusaidia hizo Tv za analog kupokea matangazo ya Digital na kuendelea kutumika japo wanaotumia TV hizo za analog hawata faidi ubora kama ule wa digital
 
Je katika kununua Radio au TV unashauri nini?

Mnunuzi inatakiwa azingatie nini ili Radio yake Au TV yake iweze kushika network za Digital?
 

Thanx
Angalau umenipa mwanga mkuu baada ya kupitia pitia hizo link.
Nadhani hii ni kwa televisheni pekee na si radio.
Lakini kaswali kangu kakujua kama akina cnn,mnet,ss na wengineo nao bado wanatumia analogi sijapata ufafanuzi wake.
 
hivi umu ni wana science na technology au wazinguaji sizani kama mtu ana eleweshwa alafu anashindwa kuelewa sijui mbebeke vp
 
hivi umu ni wana science na technology au wazinguaji sizani kama mtu ana eleweshwa alafu anashindwa kuelewa sijui mbebeke vp

Mkuu ni post hii imekufanya uage jf?
Hapa nadhani tunafahamishana tu wala huna haja ya kusema uliyosema.
Unaweza ukawa unajua kitu lakini pengine hujampata vizuri muulizaje ukajibu jibu sahihi lakini si alilouliza muulizaji.
Mkuu challenge ni sehemu ya maisha huna haja ya kukasirika hadi kufikia kujitoa jf sababu tu umedhani "unazinguliwa".
Mimi hapa swali langu la msingi ilikuwa ni kwanini tume inadai hatutatumia tena tv zetu kwakuwa zinadaka mawimbi ya analogi pekee wakati huo huo kwa kutumia tv hizi hizi tunadaka tv za mbele ambazo tunaambiwa waliishaanza kutumia digitali kitambo?.
Ulichojibu wewe ni kueleza jinsi mifumo hii ilivyo kitaalamu kitu amnacho sio kibaya. Lakini hujajibu swali la msingi kwanini tunadaka cnn,bbc nk kwa kutumia analogi tv wakati wao wanatumia digitali.
Nilitegemea majibu kama labda nawao bado wanatumi analogi, au mitambo yao inarusha vyote viwili and something like that.
Punguza hasira mkuu mchango wako bado tunauhitaji huna sababu ya kuondoka jf, utaenda wapi palipo bora kama hapa
 
Thanx
Angalau umenipa mwanga mkuu baada ya kupitia pitia hizo link.
Nadhani hii ni kwa televisheni pekee na si radio.
Lakini kaswali kangu kakujua kama akina cnn,mnet,ss na wengineo nao bado wanatumia analogi sijapata ufafanuzi wake.

Kakasina uhakikakamakina CNN ESPN wanatumia analog au wanatumia digital.

But matangazo ya CNN au BBC hayawezi kumfikia mtazania moja kwa moja. Ni ama

  • Lazina awe na satelite dish Dish nje pamoja na decder ndani kama
  • Au matangazo ya CNN na BBC yatamfikia mtazamaji asiye na Dish kama yatarushwa na vituovya lcal kama ITV.
So kwa upande mwingine hata ITV hawezi ku retrasmit matangazo ya CNN kama ITV wenyewe hawana Satelite Dish. So ukiona unapata CCNN bila dish ni sababu ITV wanalo dish na wanachofana nikuretrasmit.

So hata matangazo ya CNN, BBC ESPN yangekuwa kwenye digital bado yangemfikia mteja anayetumia anlog TV sababu katika katikati kuna teknolojia za satelite . Naamin within satelite dish kuna vifaa vya ku decode mawimbi kutoka digital kwenda analog.

kama nilivyokuambia pata muda usome article zote nilizokupa pale juu jamaa wamejitahidi kutoa picha kamili
HowStuffWorks "Introduction to How Satellite TV Works"

Kwa hiyo jibu rahisi ni kuwa tunaona CNN na BBC ingawa zinatangaza kwe digital sababu hatupokei matangazo/ mawimbi ya matangazo yao moja kwa moja. Kuna vifaa kati kati vinavyochakachuakatika format inayokubalika kwenye TV zetu

Cheki na hii video clip

paulss Maswali yako yamenifanya pia nielimike zaidi ya kile nilickuwa ninajua
 
Last edited by a moderator:
kama unatumia DSTV au Cable Tayari hiyo ni digital thats why unaangalia, CNN na Channels nyingine hiyo Box yako inaweza ku-convert hizo digital signal hata analog TV yako ikafanya kazi more info angalia hii extract
 

Point noted mkuu.
Nikweli kabisa huwezi kuona cnn direct without king'amuzi or through local tv station.
Sasa nakubaliana na wewe kuwa inawezekana king'amuzi kikawa kinafanya hiyo kazi ya kutoa analogi kuleta digitali
 
Point noted mkuu.
Nikweli kabisa huwezi kuona cnn direct without king'amuzi or through local tv station.
Sasa nakubaliana na wewe kuwa inawezekana king'amuzi kikawa kinafanya hiyo kazi ya kutoa analogi kuleta digitali

Obvious thats what it does sababu (vingamuzi) DSTV, na Cables tayari mfumo ni Digital
 
Kuendeleza mjadala kwa manufaa ya kuelimika tujiulize zaidi

Whats are techinical and functionlity differences between MODEM and DECODER or CODEC

Nawasilisha
 
Kuendeleza mjadala kwa manufaa ya kuelimika tujiulize zaidi

Whats are techinical and functionlity differences between MODEM and DECODER or CODEC

Nawasilisha

demodulator - modulator inabadilisha data kwenda kwenye audio ili ipite kwenye waya za simu...... and vice versa thats why kama unatumia dial - up unahitaji modem ili utumia mfumo kwa Simu...

decoder / encoder - kama information (data) ikiwa coded unahitaji codecs ili iweze kuifungua (decoder) ili iweze kusomeka na device fulani mfano kwenye players utahitaji codecs za VLC player ili uweze kucheza movie iliyotengenezwa na VLC kwenye player nyingine mfano Windows player

Codecs njia iliyotumika kutengeza data compression ili file kubwa kulifanya liwe dogo... mfano in music na video, mp3 ni compression ya juu kuliko .wav kwahiyo mp3 ina compression/decompression tofauti lets say na ile ya .vlc
 

Ok nimekupata lakini unaposema Modem inabadilisha data kwenye Audio naona unapotosha kabisa. Modem is about data .Modulation and demodulation ya data inaweza kuwa in form of ( Voice,Video, character)

Uko sahihi lakini naona mifano yako inaendanana tenolojia za zamani sasa hivi tuna wireless Modem. Sasa ukisema data zipite kwenye wire za simu pia unanitatiza

Sasa swali Decoder kama ya DSTV inatumi compression technology gani kwenye picha na sauti
 



Maelezo rahisi:

Decoder:- An apparatus/hardware used to un-scramble/restore scrambled DIGITAL signals (Radio or TV).

Codec (Coder+Encoder ):-Software algorithm that is used to convert ANALOGUE voice/video signal into DIGITAL and vice-versa. Codecs vary in complexity, the more complex algorithm, the better the voice/video quality but the higher the latency caused by by longer signal processing time.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…