VoiceOfReason
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,194
- 1,365
Ok nimekupata lakini unaposema Modem inabadilisha data kwenye Audio naona unapotosha kabisa. Modem is about data .Modulation and demodulation ya data inaweza kuwa in form of ( Voice,Video, character)
Mkuu hiyo ndio rahisi, naona hapo kuna technical terms nyingi sana algorithm, analogue..... Hapa inabidi mtu uongee katika layman terms not everyone is IT Literate...[/COLOR]
Maelezo rahisi:
Decoder:- An apparatus/hardware used to un-scramble/restore scrambled DIGITAL signals (Radio or TV).
Codec (Coder+Encoder ):-Software algorithm that is used to convert ANALOGUE voice/video signal into DIGITAL and vice-versa. Codecs vary in complexity, the more complex algorithm, the better the voice/video quality but the higher the latency caused by by longer signal processing time.
Mkuu hiyo ndio rahisi, naona hapo kuna technical terms nyingi sana algorithm, analogue..... Hapa inabidi mtu uongee katika layman terms not everyone is IT Literate...
through TTCL unweza kuona ata Television sio lazima Audio tuKwenye Connection ya Modem na Connection ya Simu... Modem inatuma signal za aina gani?
Yaani ili Modem ya position A (dar es salaam) through TTCL mpaka modem B (Mwanza)...., ziweze kuongea zinaongea kwa mfumo wa signal ya aina gani?
Kwenye Connection ya Modem na Connection ya Simu... Modem inatuma signal za aina gani?
Yaani ili Modem ya position A (dar es salaam) through TTCL mpaka modem B (Mwanza)...., ziweze kuongea zinaongea kwa mfumo wa signal ya aina gani?
I know lakini modem inatokana na neno Modulation What is Modulation?through TTCL unweza kuona ata Television sio lazima Audio tu
Kwa hiyo Modem ya postion A through TTCL mpaka mwanza B kazi yake ni kupitisha data Aina yeyote iwe ni (sauti picha,Video etc)
Ndio maana kama una badwidth ya kutosha unaweza kuona mechi online sababu Modem ina uwezo wa kumodulate data yeyote
Kumbe ni technical sana, naomba usaidie basi haya maneno kwa kiswahili/lugha rahisi:
1:Algorithm
2:Analogue
3😀igital
I know lakini modem inatokana na neno Modulation What is Modulation?
Ofcourse signal inaweza ikabadilishwa into any form ila swali langu ili ipite TTCL inabidi iwe converted katika signal inayoweza kupita kwenye line za simu, hata kwenye hizi fibre optics inaanisha itabidi iwe converted kwenye optical signal....
A modem is a device or program that enables a computer to transmit data over, for example, telephone or cable lines. Computer information is stored digitally, whereas information transmitted over telephone lines is transmitted in the form of analog waves. A modem converts between these two forms............ endelea hapa What is modem? - A Word Definition From the Webopedia Computer Dictionary
NB:
Data ni data iwe audio ,character video ni data.
USB modema
While the term USB modem refers to any type of data/fax/voice modem device which can be connected to a computer using USB, the term more commonly describes a specific portable USB device that looks similar to a USB flash drive and can be as small as 100 x 35 x 23mm in physical size and weigh only around 25grams . ...... What is USB modem? - A Word Definition From the Webopedia Computer Dictionary
Cable Modem
A modem designed to operate over cable TV lines. Because the coaxial cable used by cable TV provides much greater bandwidth than telephone lines, a cable modem can be used to achieve extremely fast access to the World Wide Web. This, combined with the fact that millions of homes are already wired for cable TV, has made the cable modem something of a holy grail for Internet and cable TV companies.......What is cable modem? - A Word Definition From the Webopedia Computer Dictionary
Sasasa kuhusu what is Modulation ni kitendo cha kuiformat data iweze kusafiri kwenye signal fulani au kutambulika na kifaa fulani . Kuna maneno kama AM na FM. ( Amplitude modulation na Frequency Modulation)PCI Modem
A modem that plugs into a PCI bus and is controlled by a device driver. Other types of modems may use the older ISA bus slot. What is PCI modem? - A Word Definition From the Webopedia Computer Dictionary
NB
nadhni hii ni sawa na inbulit modem zilizopo kwenye Laptop na pc nyingi.
emodulator - modulator inabadilisha data kwenda kwenye audio ili ipite kwenye waya za simu...... and vice versa thats why kama unatumia dial - up unahitaji modem ili utumia mfumo kwa Simu...
Naomba Nitoe Mchango wangu kidogo kuhusu Masuala kadha wa kadha ambayo yamejitokeza katika huu Mjadala, Ningependa kwanza nitoe maana ya haya maneno katika lugha nyepesi
Nikianza na MODEM
MODEM imetokana na maneno mawili MODULATION na DEMODULATION
MODULATION:
Maana yake ni kubadilisha information kutoka katika Form moja kwenda nyingine ili kurahisisha Usafirishaji au Usomekaji wa Information ( That is simple definition)
DEMODULATION ni kinyume cha MODULATION yaani ni kubadilisha MODULATED data katika hali yake ya Zamani
kwa hiyo DEMODULATION na MODULATION ni VERB au Kitendo
MODEM ( Noun) ni Kifaa kinachoweza ku MODULATE na ku DEMODULATE
Niko hapa kujibu Maswali mbalimbali yahusuyo Telecommunication kwa Ujumla
Karibuni
Nataka kuanzisha huduma ya kupigsha simu kwa internet kwa gahrama nafuu kwa tanzania. Nimetegeneza program yangu kama skype tayari lakini sijui nifanyeyeje niwezeshe program yangu iwezeshe kuwa na VOIP .
NB
sitaki kutumia program za kuwatajirisha kampuni kama skype, smsdiscount ,nk Nataka mimi mwenyewe prog yangu ndio itumikke kupiga simu. Na programu ninayo tayari jisni ya kuwezsha kupiga simu na nini kinatakiwa ndio nieleweshe.
Natanguliza shukrani
Nataka kuanzisha huduma ya kupigsha simu kwa internet kwa gahrama nafuu kwa tanzania. Nimetegeneza program yangu kama skype tayari lakini sijui nifanyeyeje niwezeshe program yangu iwezeshe kuwa na VOIP .
NB
sitaki kutumia program za kuwatajirisha kampuni kama skype, smsdiscount ,nk Nataka mimi mwenyewe prog yangu ndio itumikke kupiga simu. Na programu ninayo tayari jisni ya kuwezsha kupiga simu na nini kinatakiwa ndio nieleweshe.
Natanguliza shukrani
Mkuu sina utaalamu sana wa Mambo ya Programming ila maadam JF ni kisiwa cha Elimu bila shaka Watakuja wataalumu watufahamishe vizuri ila ningekushauri kama Ikiwezekana Hilo Suala lako ungelianzishia topic nyingine ili lipate Attention!
Asante
Bantugbro said:Vizuri, kwa kifupi mapato yako bado yatategemeana na bei za call/SMS Terminations utakazopewa na Wholesale Termination providers na baada ya wewe kuweka margin yako katika retail prices zako kwa wateja.
That is, Kutotumia propretiary programs kutapunguza gharama ya kukodi/royalt au kununua hizo program toka kwa wenyewe (kama Skype, Fring n.k)..
Je unataka maelezo ya kiufundi ni jinsi gani hii huduma inavyoweza kuwa configured?