Hii ikoje kwa Premio (F) 1490?

Nawapenda wa Bajaji wanashuka kabisa kuangalia

Wenye magari wanapandisha vioo wasipaliwe na harufu ya Diesel na petrol
Haha wa pikipiki na bajaji hawaibiwi kamwe, kwanza mafuta wanayoweka ni yakunusa pia macho direct kwenye amount bar hahaha
 
We utakuwa umeemda sheli ile ya Sinza kijiwen [emoji23][emoji23][emoji23] wasenge wale wanaibia watu sana mafuta ya 30 wanakuwekea elf 3
 
Gari yako ina shida. Kama upo dar nicheck 0621221606.

Otherwise huko ulikoweka mafuta umepigwa.
 
Nawapenda wa Bajaji wanashuka kabisa kuangalia

Wenye magari wanapandisha vioo wasipaliwe na harufu ya Diesel na petrol
Hahahaha 😂🤣🤣
Ni kweli kabisa aiseeee!!!! Wale jamaa bajaj ni wajanja kushinda wao, mfuniko wa tank atafungua mwenyewe na pipe ya mafuta ataweka mwenyewe baadae analipia na kusepa
 
MREJESHO!, Baada ya kupata mawazo mengi na uzoefu wenu! Nimeshuhudia kuwa lita 10 kwa premio f , zimeweza kutembea KM 138. Hakika tuwe makini tunapowekewa mafuta sheli.
Kwa hesabu rahis nimetumia lita 8.65 za petrol kwa Umbali wa KM 138, Kwa mantiki hiyo Gari inauwezi wa kutembea KM 16 Per Litre.
 
Kenyewe na premio yake kamekaa kwenye gari kanafungua mfuniko anasubiri awekewe mafuta badala ashuke kama watu wa bajaj
 
Pole sana...vijana wa hovyo sana hao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…