CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
Imepita miaka kadhaa tangu Graduate huyu kule Zimbabwe aamue kuandamana kupeleka ujumbe kwa Serikali yao kuhusu Ajiri.
Jamaa alikuwa ni machinga kweli ila aliamua kuvaa Joho kabisa.
Hii picha ililetaga mijadala mikari sana Ulimwenguni kote na kila mtu alikuwa na Maoni yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa alikuwa ni machinga kweli ila aliamua kuvaa Joho kabisa.
Hii picha ililetaga mijadala mikari sana Ulimwenguni kote na kila mtu alikuwa na Maoni yake.
Sent using Jamii Forums mobile app