CHASHA FARMING JF-Expert Member Joined Jun 4, 2011 Posts 7,872 Reaction score 9,263 Jul 20, 2017 #1 Imepita miaka kadhaa tangu Graduate huyu kule Zimbabwe aamue kuandamana kupeleka ujumbe kwa Serikali yao kuhusu Ajiri. Jamaa alikuwa ni machinga kweli ila aliamua kuvaa Joho kabisa. Hii picha ililetaga mijadala mikari sana Ulimwenguni kote na kila mtu alikuwa na Maoni yake. Sent using Jamii Forums mobile app
Imepita miaka kadhaa tangu Graduate huyu kule Zimbabwe aamue kuandamana kupeleka ujumbe kwa Serikali yao kuhusu Ajiri. Jamaa alikuwa ni machinga kweli ila aliamua kuvaa Joho kabisa. Hii picha ililetaga mijadala mikari sana Ulimwenguni kote na kila mtu alikuwa na Maoni yake. Sent using Jamii Forums mobile app
CHASHA FARMING JF-Expert Member Joined Jun 4, 2011 Posts 7,872 Reaction score 9,263 Jul 20, 2017 Thread starter #2 Sent using Jamii Forums mobile app
Rahabu JF-Expert Member Joined Jan 21, 2014 Posts 5,526 Reaction score 3,341 Jul 20, 2017 #3 Huku kwetu wanguamua kuvaa hivyo pangekua hapatoshi maana nahisi asilimia kubwa kila unaekutananae katika maisha ya kila Siku anaelimu yake ya kutosha
Huku kwetu wanguamua kuvaa hivyo pangekua hapatoshi maana nahisi asilimia kubwa kila unaekutananae katika maisha ya kila Siku anaelimu yake ya kutosha
Bazazi JF-Expert Member Joined Aug 18, 2008 Posts 2,806 Reaction score 3,485 Jul 20, 2017 #4 Naamini yuko sahihi maana watu tuna dharau sana kwani tukimuona Mmachinga basi hana Elimu au hana Elimu ya Kutosha. Pia ni kuwakumbusha wasomi kuwa kambi popote mradi mkono wende kinywani na uwe na malengo. Kazi ni kazi mradi iwe halali na uwe unajua unataka nini. Ni strategic leader huyo Sent using Jamii Forums mobile app
Naamini yuko sahihi maana watu tuna dharau sana kwani tukimuona Mmachinga basi hana Elimu au hana Elimu ya Kutosha. Pia ni kuwakumbusha wasomi kuwa kambi popote mradi mkono wende kinywani na uwe na malengo. Kazi ni kazi mradi iwe halali na uwe unajua unataka nini. Ni strategic leader huyo Sent using Jamii Forums mobile app
mzado JF-Expert Member Joined Jan 12, 2014 Posts 1,023 Reaction score 1,532 Jul 20, 2017 #5 Najiuliza kama vyuo vyote bongo wangekua wanakupa joho lote lote, ulimwengu sijui ndio ungejionea mapicha gani kwakweli Sent using Jamii Forums mobile app
Najiuliza kama vyuo vyote bongo wangekua wanakupa joho lote lote, ulimwengu sijui ndio ungejionea mapicha gani kwakweli Sent using Jamii Forums mobile app
MURUSI JF-Expert Member Joined Jun 25, 2013 Posts 4,537 Reaction score 8,824 Jul 20, 2017 #6 mzado said: Najiuliza kama vyuo vyote bongo wangekua wanakupa joho lote lote, ulimwengu sijui ndio ungejionea mapicha gani kwakweli Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Majoho yanashonwa mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
mzado said: Najiuliza kama vyuo vyote bongo wangekua wanakupa joho lote lote, ulimwengu sijui ndio ungejionea mapicha gani kwakweli Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Majoho yanashonwa mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
Lizarazu JF-Expert Member Joined Aug 23, 2015 Posts 6,333 Reaction score 7,879 Jul 20, 2017 #7 Very touching sent from tekno ya shilingi elfu saba na mia tano.
Justice minister JF-Expert Member Joined Sep 1, 2016 Posts 1,173 Reaction score 823 Jul 20, 2017 #8 Inafikirisha na kuchekesha.
Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 62,197 Reaction score 128,160 Jul 20, 2017 #9 Wanatikwa wavae watu kama 100 hivi ndiyo itaeleweka zaidi Sent using Jamii Forums mobile app
king of the North Senior Member Joined Jul 26, 2016 Posts 102 Reaction score 55 Jul 20, 2017 #10 Hahaha.Daaa Sent using Jamii Forums mobile app
CHASHA FARMING JF-Expert Member Joined Jun 4, 2011 Posts 7,872 Reaction score 9,263 Jul 20, 2017 Thread starter #11 Daudi Mchambuzi said: Wanatikwa wavae watu kama 100 hivi ndiyo itaeleweka zaidi Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Hahaha yes mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
Daudi Mchambuzi said: Wanatikwa wavae watu kama 100 hivi ndiyo itaeleweka zaidi Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Hahaha yes mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
CHASHA FARMING JF-Expert Member Joined Jun 4, 2011 Posts 7,872 Reaction score 9,263 Jul 20, 2017 Thread starter #12 Justice minister said: Inafikirisha na kuchekesha. Click to expand... Why sir Sent using Jamii Forums mobile app
Justice minister said: Inafikirisha na kuchekesha. Click to expand... Why sir Sent using Jamii Forums mobile app
CHASHA FARMING JF-Expert Member Joined Jun 4, 2011 Posts 7,872 Reaction score 9,263 Jul 20, 2017 Thread starter #13 ni kama alikuwa kwenye mandamano Sent using Jamii Forums mobile app
Ushimen JF-Expert Member Joined Oct 24, 2012 Posts 40,828 Reaction score 99,523 Jul 21, 2017 #14 Ingekua ni huku kwetu, angekamatwa na kupelekwa hospitali na kisha kufungwa kamba miguuni na mikononi, na kulazwa kwenye wodi ya vichaa
Ingekua ni huku kwetu, angekamatwa na kupelekwa hospitali na kisha kufungwa kamba miguuni na mikononi, na kulazwa kwenye wodi ya vichaa
kawombe JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 14,239 Reaction score 15,876 Jul 21, 2017 #15 Inatia hasira sana
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 52,812 Reaction score 71,392 Jul 21, 2017 #16 Anajiamini balaa
Kig JF-Expert Member Joined Aug 13, 2012 Posts 1,076 Reaction score 458 Jul 21, 2017 #17 ninahisi ukivaa joho hapa bongo unaweza kujikuta kizimbani kwa kesi ya uchochezi
Ultimate JF-Expert Member Joined Nov 29, 2016 Posts 739 Reaction score 1,888 Jul 21, 2017 #18 Tanzania wakiamua kuvaa majoho tanzania itageuka itakua kama saudia