Lengeri
Senior Member
- Jul 3, 2009
- 180
- 17
Ni mapema ya asubuhi ya ijumaa unawahi mzigoni njiani unakutana na mtoto wa kike mzuri amejaajaa anatembea kwa pozi kuelekea kituo cha daladala, unaona isiwe nongwa unaamua kumpa lifti, hajivungi anaingia garini nawe unang'oa mchuma. katika maongezi unagundua yupo customer care kwenye kampuni moja ya simu hapa mjini. unaomba date jioni bila matata unakubaliwa. Jioni unachomoka mzigoni unampitia mtoto huyo kiwanja flani mnapata dinner ya kiaina, stori na bia mbili tatu, anaomba ofa ya Mzalendo Pub kwa jide huna haraka unampleka mnasakata rumbha hadi mida flani anadai amechoka unachomoka nae hadi nyumba ya wageni unapiga mzigo hadi asubuhi, kumbuka hapo hujamtongoza hii imekaaje wadau!!!!!???