Hii imekaaje kudharau watumiaji wa simu za Tecno na Itel ilihali wote mnakuwa na access ya vitu vinavyofanana

Emancipate yourself from mentally slavery..
 
Natumia Infinix , nafanya graphics mwenyewe kila siku kwenye simu yangu (kwaajili ya biashara) hiyo canva , adobe etc zipo

Mna ujinga mwingi
mimi natumia infinix huu mwaka wa 6 ila huo ujinga aliosema hapo juu sijawahi kuuona
tatizo wanajikweza sana au wamekariri tu
 
Ni sawa na masikini anayeshindia ugali na mbaazi chuku chuku halafu aseme yeye ni sawa tu na kina Azam maana wote wanashiba... amesahau kuwa yeye anashiba lakini anashambuliwa na utapiamlo

Hivi kweli;
Tecno
Itel
Infinix

Yaani ndo uje useme ni sawa na Samsung!

Aah hebu acha utani bwana. Hayo yataendelea kubaki ni makopo tu
 
Mvaa kiwinda kapata kaniki basi wote tunaonekana malofa sawa ndugu. Ila mawasiliano unayo pata wewe na sie tunayapata tena kwa wakati mmoja.
 
jamaa na iPhone zao wanaweka ile ringtone yao ya taifa kwa sauti kubwa ila ajulikane nae ni mdau wa Apple. Zamani nilijua hizo sim zina mlio wa aina moja tu.
 
kabisa
eti simu ya tecno mtu anasema ni uchafu
Mimi sijawahi tumia hizo takataka so called tecno.

Nmetumia Samsung, Iphone, Sony, LG, Huawei, Xiaomi, HTC na Blackberry.

Kuna mtu alikuwaga ananiuzia hizi simu. Ila akiwa na tecno alikuwa hanigusi hata kama ni tecno nzuri kiasi gani na inauzwa bei chee.

Huu uchafu wa tecno sijawahi kuuelewa kwa kweli.
 
Div four anasoma mpaka anapata Phd.

Endeleeni kukazana kudiss simu zetu pendwa wakati sisi tukiendelea kuenjoy digital life.
Alafu unakuta mtu anaiponda Tecno phantom X na yeye anatumia Galaxy S 3[emoji23][emoji23]
 
mimi natumia infinix huu mwaka wa 6 ila huo ujinga aliosema hapo juu sijawahi kuuona
tatizo wanajikweza sana au wamekariri tu

blaza blaza,infinix 2016 ziliishakuwa popular kweli!!!au umeamua kutugonga na vitu vyenye ncha kali!!!!
 
CBE au St........?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…