Hii imekaaje kudharau watumiaji wa simu za Tecno na Itel ilihali wote mnakuwa na access ya vitu vinavyofanana

Mi sinaga tabia ya kudharau mtu ila watumuaji wa infinix tecno na itel ni ushamba na ubahili unawasumbua hilo likienda sambamba na kukosa exposure mi pia nimetokea huko so naelewa hayo mambo hizo sio simu labda kwa wazee wa vijijini huko
 
Usiwashangae mkuu,ni watu ambao dunia imewavaa,they are materialistic.I can also add their minds are controlled by the Devil.Ni sawa na mtu anayekunywa Whisky anavyodhani yeye ni bora kuliko anayekunywa Kimpumu,kumbe wote ni sawa tu,kwa kuwa they are all taking Ethanol(C₂H₆O)!The Devil is working inside them.
 
Pumba tu bado, elezea inakosa quality kivip
 
Ukishusha mzigo mzito zina jam, Zinazima.

Hazipakui High Quality Pure HD.

Zina viwango vikubwa vya SAR tofauti na zile za Ulaya na America.
Sio kweli, hiyo ya kuzima inategemea na RAM, simu ikiwa na RAM kubwa unapakua chochote
Na kupakua kitu ni settings tu za matandao husika na sio simu
 
Hizo Adobe na Canva za kazi gani? Makokoro ambayo matumizi yake ni chini ya 1%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…