Hii imekaaje kwa baadhi ya wakina dada

Jr. Gong Mira

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2017
Posts
1,281
Reaction score
1,300
Habari wana JF .
Kuna hii tabia ya akina wadada ambao akitaka kuja kwako kama mpo mkoa tofauti lazima atadai nauli ya kurudia mkoani kwake.
Hvi najiuliza alipokuja kwani alijua anakaa maisha au vipi.
Naomba kujua hii inasababishwa na nini!!???
 
Tenaa uwe na huruma km yeyee alivyokuhurumiaa akakuomba ya kurudia tu lakini unatakiwa umtumiee nauli ya kuja huko na kurudi na ya njianii ya matumiz madg madg
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…