samsun JF-Expert Member Joined Feb 9, 2014 Posts 7,386 Reaction score 5,965 Mar 19, 2016 #21 Ukiiangalia hii ratiba hapa EXCLUSIVE (TANZANIA) – Diamond Platnumz kufanya tour Ulaya 2016, Cheki ratiba yake hapa! - News | Mdundo.com utaona si ya yeye kufanya show 1 halafu arudi bongo kuna uwezekano akakaa kama wiki 3 - 4.
Ukiiangalia hii ratiba hapa EXCLUSIVE (TANZANIA) – Diamond Platnumz kufanya tour Ulaya 2016, Cheki ratiba yake hapa! - News | Mdundo.com utaona si ya yeye kufanya show 1 halafu arudi bongo kuna uwezekano akakaa kama wiki 3 - 4.
kabanga JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,421 Reaction score 18,760 Mar 19, 2016 #22 Wale wanaohusiana Na kazi gharama Ni Kwa mtayarishaji Na wafamilia Ni yake mwenyewe....!
PAGAN JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 12,181 Reaction score 20,148 Mar 19, 2016 #23 mzaramo said: wote hao wamesafirisha madawa aiseee jamaa watapiga hela ya kutosha mno Click to expand... We mzaramo acha mambo yako wewe
mzaramo said: wote hao wamesafirisha madawa aiseee jamaa watapiga hela ya kutosha mno Click to expand... We mzaramo acha mambo yako wewe