Hii imekaaje kwenu wakuu?

Rivamba J

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2013
Posts
385
Reaction score
170
Jamani mimi nimechaguliwa awamu ya 3 jkt lakini sina kabisa mzuka wa kuandika hizo barua za kuomba kuahirisha kwenda jkt nyie kwenu imekaaje wakuu?kama mnanishauri niandike naombeni pia mnpostie anwani yao hawa jamaa.
 
Dah!huwezi kusemea nafsi ya mtu,mi nahis ndo nimekuwa wa kwanza kuandika hyo barua
 
hatamie candiki hiyo barua majina yao wameyatoa kwenye web yao sasa utajuaje mi siandiki hiyo barua wanazingua 2
 
Dah!huwezi kusemea nafsi ya mtu,mi nahis ndo nimekuwa wa kwanza kuandika hyo barua

Mwana UDOM mwenzangu ebu fanya kuitupia anwani yao aise manake cwezi jua mbeleni wenda kukawa na usumbufu kwa hili swala.
 
andika bhana, mwenzio ndo naandika now! ntawatumia kwa EMS
 
fungua thread nyingine omba utumiwe sample ya barua hilo ndo tatizo ulilonalo na wala siyo kwamba huna mzuka.
 
Mimi hawa jkt naona ka wananzingua tu me natuma tu kawaida bora ifike hilo swala la muda watajua wenyewe
 
Jamani mimi nimechaguliwa awamu ya 3 jkt lakini sina kabisa mzuka wa kuandika hizo barua za kuomba kuahirisha kwenda jkt nyie kwenu imekaaje wakuu?kama mnanishauri niandike naombeni pia mnpostie anwani yao hawa jamaa.

MKUU WA JESHI
LA KUJENGA TAIFA,S.L.P 1694 DAR ES
SALAAM,
SIMU:+255 22 2780588/2780712
EMAIL:info@jkt.go.tz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…