Hii imekaaje kwenye bank zinginge eti tunao tumia master card tunakatwa 6000 kwa mwaka NMB

sasa hivi wanatafuta pesa kwa nguvu sana.hii haina utofauti na utapeli au ujambaza
 
Dah nilijua ni mimi tu peke yangu kumbe tupo wengi na nilitaka kesho nikaulize ili kujua hiyo pesa ni ya nini na unamkataje mtu bila kumpa taarifa? Huo ni kama wizi
 
bank kubwa ni wezi wakubwa... mi nimeshawahama zamani... mwendo wa bank mpya tu..now wakizingua nawahama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…