Mimi ni fundi magari, na kuna mteja wangu aliniletea kazi miaka mitatu iliyopita na kunitelekezea gereji, cha ajabu alipokuja gereji na nikampa bili ya matengenezo pamoja na ulinZi kwa kipindi chote, cha kushangaza amepeleka polisi na kuniweka lockup cku tatu na kufungua kesi maakamani ya kuwa gari lake imeibiwa spea. Na wakati nipo ndani alitumia muda huo kuliondoa gar gereji, now kesi hipo maakamani lkn gar lake anal0. Naomba msaada wenu wana jamii