Yaani tangazo la kazi limetoka, umetuma maombi, after a month and more umepigiwa simu uende kwenye interview, umefanikiwa kwenda, baada ya interview wamekupenda na wamekupa kazi na inbrief baadhi ya vipengele vile muhimu m-meshakubaliana, na umeambiwa subiri ticket yako ndani ya siku 2 tutakupigia.
Halafu baada ya siku 2 hawajapiga...unakuwa mpole na inakaribia wiki bado hawajakuita....so ni sahihi kuwapigia simu kuwaulizia wamefikia wapi au ni sahihi kwenda ofisi zao kuulizia?? Manake isije kuonekana una kiherehere cha kazi ikawa taabu!!
Mshkaji wangu anaulizia hii imekaaje...nikamwambia subiri niende jamvini kwanza!!
Hakuna kiherehere hapo....mtu huwezi tu kusubiria kama tunavyomsubiria Yesu! Kama mimi ndo bosi mwenyewe; halafu hutaki kuulizia, wala sitakuona kwamba hauna kiherehere but nitakuona u're weak in follow up! Ni stupid HR ndie atakuona una kiherehere kwa kuulizia; however, let it not be too much! Tell ur friend to call or go physically, na jibu atakalopewa ndilo analotakiwa kuwa mstahimilivu nalo.
nakubaliana na mkuu NasDaz
kufuatilia kazi si kiherehere bali ni kuonyesha you "Care"
na kweli unataka kazi. mwambie huyo rafikio aonyeshe ya kwamba anataka kazi
na ye afuatilie na si boss kumfuatilia. maana si ye peke yake anaitaka hiyo kazi.
Usikute boss ana CV kama 50 hapo juu ya meza kwa yule anaefuatilia na anaonyesha "commitment" fulani
ndie mwenye chansi kubwa ya kupata kazi. Mwambie rafikio kila lakheri . Na afuatilie, na ikibidi ofisini aende.
Hakuna kiherehere hapo....mtu huwezi tu kusubiria kama tunavyomsubiria Yesu! Kama mimi ndo bosi mwenyewe; halafu hutaki kuulizia, wala sitakuona kwamba hauna kiherehere but nitakuona u're weak in follow up! Ni stupid HR ndie atakuona una kiherehere kwa kuulizia; however, let it not be too much! Tell ur friend to call or go physically, na jibu atakalopewa ndilo analotakiwa kuwa mstahimilivu nalo.
Bado hujaeleweka vizuri. Unasema mmekubaliana na tayari umeshapewa kazi.Umepewaje kazi? kwa mdomo au kwa contract?. kama umesaign contract nafikiri terms ziko wazi na huna haja ya kupaparika as long as wamekwambia watakupigia na kama huwezi kuanza hiyo kazi mpaka wakupe ticket then tulia na mshahara wako uko palepale. Unless utuambie ukweli kwamba kazi hujapata then nita-advise otherwise. Let's work in a professional manner
Naona nimechelewa si kiherehere ni kuonyesha unajali Siziga hujambo lakini habari za Ntwara??
Sometimes unawezakuwa walikupigia hukupatikana. Its ok and very professional kuulizia. Ila sasa usije ukaulizia kama mtoto mdogo. Waulize when do they think watakuwa ready, na iwapo hujawasikia when next can you check with them again.
mi nilitokea na scenario kama hiyo ilikuwa ni MD kusign tu nikaambiwa nisubiri ila nilikuwa nafutalia na nilikuwa na mulizia HR na alikuwa ananipa majibu yanayostahili ni haki yake kuuliza mkuu..Yaani tangazo la kazi limetoka, umetuma maombi, after a month and more umepigiwa simu uende kwenye interview, umefanikiwa kwenda, baada ya interview wamekupenda na wamekupa kazi na inbrief baadhi ya vipengele vile muhimu m-meshakubaliana, na umeambiwa subiri ticket yako ndani ya siku 2 tutakupigia.