Hii imekaaje: Spika Ndugai kumwakilisha Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Bashiru kwenye mkutano

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Kuuliza siyo ujinga.

Leo nimemsikia Rais wa CWT bi Ulaya wakati anawatambulisha wageni wa meza kuu alimtambulisha mh Job Ndugai Spika wa Bunge ambaye anamwakilisha Katibu mkuu wa CCM.

Kiitifaki hiyo imekaaje?

Ni hilo tu,

Maendeleo hayana vyama!
 
Kuuliza siyo ujinga.

Leo nimemsikia rais wa CWT bi Ulaya wakati anawatambulisha wageni wa meza kuu alimtambulisha mh Job Ndugai Spika wa bunge ambaye anamwakilisha Katibu mkuu wa CCM.

Kiitifaki hiyo imekaaje?

Ni hilo tu,

Maendeleo hayana vyama!
Jibu liko hapa
tapatalk_1591198647921.jpg
 
Kuuliza siyo ujinga.

Leo nimemsikia Rais wa CWT bi Ulaya wakati anawatambulisha wageni wa meza kuu alimtambulisha mh Job Ndugai Spika wa Bunge ambaye anamwakilisha Katibu mkuu wa CCM.

Kiitifaki hiyo imekaaje?

Ni hilo tu,

Maendeleo hayana vyama!
Kwa sasa ni kawaida, Ndugai ni raia wa kawaida na mwanachama wa CCM.
 
Kuuliza siyo ujinga.

Leo nimemsikia Rais wa CWT bi Ulaya wakati anawatambulisha wageni wa meza kuu alimtambulisha mh Job Ndugai Spika wa Bunge ambaye anamwakilisha Katibu mkuu wa CCM.

Kiitifaki hiyo imekaaje?

Ni hilo tu,

Maendeleo hayana vyama!
Kwani wewe kama mwanachama wa Chadema kuna ubaya gani ukimwakilisha Mbowe kwenye hafla yoyote. Na baada ya hiyo hafla mkikutana mnapata na konyagi kubwa.
 
Job Ndugai ana vyeo vingi..

1: Mbunge
2: Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM
3: Speaker..

Hivyo kama Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM anaweza kumwakilisha Katibu Mkuu wa CCM, hili halina shida hata kidogo, na hapo haendi kutumia cheo cha uspika.
 
Tatizo hii mihimili yetu haijitegemei kwa maana halisi ya kujitegemea, unakuta mkuu wa mhimili mmoja ana cheo kwenye mhimili mwingine, au unakuta kiongozi wa mhimili fulani ni mwanachama wa CCM inayounda mhimili mwingine, kwa ujumla kuna mvurugano wa hali ya juu sana.
 
Kuuliza siyo ujinga.

Leo nimemsikia Rais wa CWT bi Ulaya wakati anawatambulisha wageni wa meza kuu alimtambulisha mh Job Ndugai Spika wa Bunge ambaye anamwakilisha Katibu mkuu wa CCM.

Kiitifaki hiyo imekaaje?

Ni hilo tu,

Maendeleo hayana vyama!
Huyu ni spika wa Bunge la ccm.
 
Job Ndugai ana vyeo vingi..

1: Mbunge
2: Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM
3: Speaker..

Hivyo kama Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM anaweza kumwakilisha Katibu Mkuu wa CCM, hili halina shida hata kidogo, na hapo haendi kutumia cheo cha uspika.
Hana cheo hata kimoja katika ulivyotaja hapo.
1.Sio Mbunge maana bunge limeshavunjwa.
2. Sio mjumbe wa KK maana aliingizwa kule kwa kanuni za ccm kwamba mtu wao akiwa Spika anakuwa mjumbe wa KK
3. Sio Spika tena maana bunge halipo limevunjwa baada ya muda wake kwisha.
Ndugai ni kibaka tuu aliye na kesi pending ya kumpiga na gongo mgombea mwenzake huko Kongwa.
 
Kumbe hujui vizuri, ubunge unakoma lini..

Nikufundishe, ubunge unakoma hadi pale watakapoanza kuchukua fomu za kugombea Ubunge. Sasa hivi bado ni wabunge, hadi watakapoanza rasmi kutangaza kuchukua fomu za kugombea ubunge unakoma hapo..
 
Spika Mtarajiwa 2020 -2025 ambaye anasubiri kuapishwa katika mahula wa pili.
 
Kumbe hujui vizuri, ubunge unakoma lini..

Nikufundishe, ubunge unakoma hadi pale watakapoanza kuchukua fomu za kugombea Ubunge. Sasa hivi bado ni wabunge, hadi watakapoanza rasmi kutangaza kuchukua fomu za kugombea ubunge unakoma hapo..
Kwa hiyo wanaendelea kulipwa kama wabunge? Au unataka nikwambie nimewahi kuwa mbunge? Tena wa bunge lile lililokuwa lenye akili?
 
Kuuliza siyo ujinga.

Leo nimemsikia Rais wa CWT bi Ulaya wakati anawatambulisha wageni wa meza kuu alimtambulisha mh Job Ndugai Spika wa Bunge ambaye anamwakilisha Katibu mkuu wa CCM.

Kiitifaki hiyo imekaaje?

Ni hilo tu,

Maendeleo hayana vyama!
Cha ajabu nini hapo? Hata mbatia angeweza kumwakilisha au mrema
 
Spika ni mjumbe wa kamati kuu ya CCM, hivyo kinampa credit kumwakilisha Katibu Mkuu iwapo kama viongozi wengine wa juu wa chama wana majukumu nje ya eneo.

Kwani naibu ktb mkuu na katibu wa uewenezi hawapo?
 
Kwani wewe kama mwanachama wa Chadema kuna ubaya gani ukimwakilisha Mbowe kwenye hafla yoyote. Na baada ya hiyo hafla mkikutana mnapata na konyagi kubwa.
Ninyi mburukenge kila anayeuliza ama kutoa maoni yenye kupanua ufahamu mnajua ni wa CHADEMA tu!
 
Back
Top Bottom