johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Jibu liko hapaKuuliza siyo ujinga.
Leo nimemsikia rais wa CWT bi Ulaya wakati anawatambulisha wageni wa meza kuu alimtambulisha mh Job Ndugai Spika wa bunge ambaye anamwakilisha Katibu mkuu wa CCM.
Kiitifaki hiyo imekaaje?
Ni hilo tu,
Maendeleo hayana vyama!
Hahahahhaha!!!Jibu liko hapa View attachment 1469382
Kwa sasa ni kawaida, Ndugai ni raia wa kawaida na mwanachama wa CCM.Kuuliza siyo ujinga.
Leo nimemsikia Rais wa CWT bi Ulaya wakati anawatambulisha wageni wa meza kuu alimtambulisha mh Job Ndugai Spika wa Bunge ambaye anamwakilisha Katibu mkuu wa CCM.
Kiitifaki hiyo imekaaje?
Ni hilo tu,
Maendeleo hayana vyama!
Kwani wewe kama mwanachama wa Chadema kuna ubaya gani ukimwakilisha Mbowe kwenye hafla yoyote. Na baada ya hiyo hafla mkikutana mnapata na konyagi kubwa.Kuuliza siyo ujinga.
Leo nimemsikia Rais wa CWT bi Ulaya wakati anawatambulisha wageni wa meza kuu alimtambulisha mh Job Ndugai Spika wa Bunge ambaye anamwakilisha Katibu mkuu wa CCM.
Kiitifaki hiyo imekaaje?
Ni hilo tu,
Maendeleo hayana vyama!
Huyu ni spika wa Bunge la ccm.Kuuliza siyo ujinga.
Leo nimemsikia Rais wa CWT bi Ulaya wakati anawatambulisha wageni wa meza kuu alimtambulisha mh Job Ndugai Spika wa Bunge ambaye anamwakilisha Katibu mkuu wa CCM.
Kiitifaki hiyo imekaaje?
Ni hilo tu,
Maendeleo hayana vyama!
Hana cheo hata kimoja katika ulivyotaja hapo.Job Ndugai ana vyeo vingi..
1: Mbunge
2: Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM
3: Speaker..
Hivyo kama Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM anaweza kumwakilisha Katibu Mkuu wa CCM, hili halina shida hata kidogo, na hapo haendi kutumia cheo cha uspika.
Hana cheo hata kimoja katika ulivyotaja hapo.
1.Sio Mbunge maana bunge limeshavunjwa.
2. Sio mjumbe wa KK maana aliingizwa kule kwa kanuni za ccm kwamba mtu wao akiwa Spika anakuwa mjumbe wa KK
3. Sio Spika tena maana bunge halipo limevunjwa baada ya muda wake kwisha.
Ndugai ni kibaka tuu aliye na kesi pending ya kumpiga na gongo mgombea mwenzake huko Kongwa.
Kwa hiyo wanaendelea kulipwa kama wabunge? Au unataka nikwambie nimewahi kuwa mbunge? Tena wa bunge lile lililokuwa lenye akili?Kumbe hujui vizuri, ubunge unakoma lini..
Nikufundishe, ubunge unakoma hadi pale watakapoanza kuchukua fomu za kugombea Ubunge. Sasa hivi bado ni wabunge, hadi watakapoanza rasmi kutangaza kuchukua fomu za kugombea ubunge unakoma hapo..
Cha ajabu nini hapo? Hata mbatia angeweza kumwakilisha au mremaKuuliza siyo ujinga.
Leo nimemsikia Rais wa CWT bi Ulaya wakati anawatambulisha wageni wa meza kuu alimtambulisha mh Job Ndugai Spika wa Bunge ambaye anamwakilisha Katibu mkuu wa CCM.
Kiitifaki hiyo imekaaje?
Ni hilo tu,
Maendeleo hayana vyama!
Ndugai uspika umeisha baada ya bunge kuvunjwa. Amebaki kama raia na mjumbe wa kamati kuu ya CCM. Hivyo kawasilisha kama kiongozi wa chama. Halina utata hiloHahahahhaha!!!
Spika ni mjumbe wa kamati kuu ya CCM, hivyo kinampa credit kumwakilisha Katibu Mkuu iwapo kama viongozi wengine wa juu wa chama wana majukumu nje ya eneo.
Ninyi mburukenge kila anayeuliza ama kutoa maoni yenye kupanua ufahamu mnajua ni wa CHADEMA tu!Kwani wewe kama mwanachama wa Chadema kuna ubaya gani ukimwakilisha Mbowe kwenye hafla yoyote. Na baada ya hiyo hafla mkikutana mnapata na konyagi kubwa.
Umeangalia uzi ni wa lini?Ndugai uspika umeisha baada ya bunge kuvunjwa. Amebaki kama raia na mjumbe wa kamati kuu ya CCM. Hivyo kawasilisha kama kiongozi wa chama. Halina utata hilo
Ukiisoma vizuri comment yangu imekujibuKwani naibu ktb mkuu na katibu wa uewenezi hawapo?