The Zanzibar Echo
JF-Expert Member
- Apr 21, 2025
- 490
- 838
Salum mwalimu na mpinaKwanza wanaomba hizo pesa ili wakapambane na nani?
Salum mwalimu na mpina
Ili iwejeNa ww omba uchangiwe
Mbona kama umenijibu kitaalam sana mkuuHuwa nasikia kuna watu huwa wanatakatisha fedha, kwamba wanazo fedha chafu halafu wanazitafutia mfumo halali. Hii concept bado sijaielewa inakuwaje
Wajinga ndiyo waliwaoHii imekaaje au ina maana gani CCM inagawa baiskel, bodaboda vitenge kanga na zawadi nyengine kwa watanzania.
Ila cha kushangaza pia inaomba mchango wa hela za kampeni billion 100.
Ccm ndo laana yenyewe ya taifa hiliHii imekaaje au ina maana gani CCM inagawa baiskel, bodaboda vitenge kanga na zawadi nyengine kwa watanzania.
Ila cha kushangaza pia inaomba mchango wa hela za kampeni billion 100.
Zinasubiria kusombelezea watu mkoa kwa mkoaZile yutong piru hivi ziko ngapi?
Umemsahau Cheyo wa UDP...!Salum mwalimu na mpina
Hii imekaaje au ina maana gani CCM inagawa baiskel, bodaboda vitenge kanga na zawadi nyengine kwa watanzania.
Ila cha kushangaza pia inaomba mchango wa hela za kampeni billion 100.
shetani huwa ana Hila, huwa anajigeuza-geuza. hata kirusi cha ukimwi huwa na tabia hizo.Hii imekaaje au ina maana gani CCM inagawa baiskel, bodaboda vitenge kanga na zawadi nyengine kwa watanzania.
Ila cha kushangaza pia inaomba mchango wa hela za kampeni billion 100.