Hii imekaaje wadau wa Michezo EPL League bora kabisa Barani Ulaya?

kiben10

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2018
Posts
613
Reaction score
791
Embu niambienii.........!!!!
Ikiwa Man city ni Bingwa wa EPL, pia anacheza Fainali ya FA, Je? Kama anashinda FA cup atacheza na nani Communuty Shield??
 
Anacheza na mshindi wa pili wa ligi kuu. Case closed
Embu niambienii.........!!!!
Ikiwa Man city ni Bingwa wa EPL, pia anacheza Fainali ya FA, Je? Kama anashinda FA cup atacheza na nani Communuty Shield??
 
Anacheza na mshindi wa pili wa ligi kuu. Case closed
Kwa vigezo gani? Acha kufunga mada wewe utakuwa Man U sio kwa mbwembwe hizi za majibu ya Mh. Kangi Lugola[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kwa mujibu wa maoni yangu, man city akishinda FA atapewa na community shield.
 
Anacheza na mshindi WA pili

Imeshatikoea hivo, mwaka 1998 Arsenal alitwaa double FA na EPL ,akacheza na man u community shield, pia 1999 man u alitwaa double akacheza na arsenal ,pia 2001/2002 arsenal alitwaa double akacheza community shield na man u ,

Case closed
 
EPL ni ligi bora duniani-Alisikika Punguani mmoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…