Hii imekaaje wakubwa

Hii imekaaje wakubwa

tukuy

Senior Member
Joined
Jul 21, 2022
Posts
158
Reaction score
320
Mko poa unakutana na manzi unampenda Sana unampa mahitaji yote Ila mechi hupewi lakin hapo hapo Kuna mchizi anakula free bila kutoa kitu imemtokea mwanangu mmoja
 
Mko poa unakutana na manzi unampenda Sana unampa mahitaji yote Ila mechi hupewi lakin hapo hapo Kuna mchizi anakula free bila kutoa kitu imemtokea mwanangu mmoja
Kwani kuachana shi ngapi?

Bora ww game hupewi mi demu nikimuhudumia halafu anazingua siangalii anatoa mzigo au hatoi kwanza amenipunguzia gharama.
 
Mkuu umejaliwa huko nyuma! 🤗😍
Screenshot_20220818-143303.jpg
 
Kutoa huduma kwa mwanamke wake inaweza kuwa sio issue kwake ila shida ipo kutoa huduma kwa mwanamke asieona thamani yake huyo mwanaume.
Yaani unamuhudumia,lakini mbunye hatoi..hapohapo wajuba wengine wanakula freebot..aisee mi sikubali,hela zangu atarudisha.sipendi ujinga mimi
 
Back
Top Bottom