Kwani kuachana shi ngapi?Mko poa unakutana na manzi unampenda Sana unampa mahitaji yote Ila mechi hupewi lakin hapo hapo Kuna mchizi anakula free bila kutoa kitu imemtokea mwanangu mmoja
Kutoa huduma kwa mwanamke wake inaweza kuwa sio issue kwake ila shida ipo kutoa huduma kwa mwanamke asieona thamani yake huyo mwanaume.Unamhudumia Kwani ni mtoto wako huyo...!??..hela zako hazina kazi eeh!?
Khaa!Mkuu umejaliwa huko nyuma! [emoji847][emoji7]View attachment 2327363
Kweli to yeyeKuachana wamekataza kwani?
Hajui kitu huyoHajakupenda
Yaani unamuhudumia,lakini mbunye hatoi..hapohapo wajuba wengine wanakula freebot..aisee mi sikubali,hela zangu atarudisha.sipendi ujinga mimiKutoa huduma kwa mwanamke wake inaweza kuwa sio issue kwake ila shida ipo kutoa huduma kwa mwanamke asieona thamani yake huyo mwanaume.