Hii imekaaje wakuu

Bandabichi

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2012
Posts
230
Reaction score
42
Heshima mbele wakuu wa jamvi.

Hapa nyumbani kuna dada angu yupo darasa la nne, Juzi alikuwa anaumwa akapelekwa haospitali.

Akapima mkojo kwa ajili ya UTI. Majibu yakatoka Daktari akasema mkojo wake ni mzito na una ute.

Na akashauri asile nyama, Samaki, maharagwe. Ila dawa alipewa.

Hili ni tatizo gani jamani.
 

Mngemuuliza dr.awafafanulie zaidi
 
The secretary, walikwenda na sister mkubwa. Nadhani woga hawakuweza kuuliza.
 
Last edited by a moderator:
Dr-Rick dakitari alisema kuwa mkojo wake una uteute na wakampa dawa za UTI. Ni binti wa miaka kumi
 
Last edited by a moderator:


Mkuu Bandabichi;


Mimi siwezi kukuambia hilo ni tatizo gani Kitaalamu lakini nitapendekeza tiba ya VIRUTUBISHO ambayo mgonjwa akiitumia, itamsaidia si tu kwenye tatizo lililompeleka hospitali, bali hata katika matatizo mengine. Mimi ni INDEPENDENT HEALTHY CONSULTANT, sio DAKTARI.

Huyo mgonjwa, kwa sababu ya Jinsia, Umri na Kazi anayofanya (Mwanafunzi), anatumie SPLINA LIQUID CHLOROPHYLL, RED YEAST COFFEE NA GINSENG COFFEE kwa pamoja.

1. Splina Liquid Chlorophyll

Imetengenezwa kutokana na mmea wa "Mulberry " unaotambulika kama chanzo bora cha "Chlorophyll".

Mlo wa kila siku unatakiwa uwe na Asidi 20% and Alkali 80% ili kuuweka mwili katika afya".
- Kutokana na Prof. Ragnar Berg, Mwanalishe wa Marekani.

Kijiko Kimoja cha Chakula cha Splina Liquid Chlorophyll ni sawa na Kilogram Moja ya Mbogamboga (Mboga za Majani)

Ni vyakula vipi vyenye Asidi/Alkali

Vyakula asid:
Nyama, Vyakula vya baharini, nafaka, sukari, mafuta, na Vyakula vya makopo.

Vyakula vya Alkali:
Mboga za majani (Mbogamboga), Matunda, na Vyakula vya Mizizi (Karoti, Mihogo, Viazi, n.k)

"Splina" Liquid Chlorophyll is RICH with the following nutrients:

Zinc - helps in cell division and cell growth for faster wound healing.

Selenium - Provides protection from the toxic effects of heavy metals and other substances

Vitamin E - Nourishes the skin and keeps the brain active.

Vitamin C - Promotes healthy teeth and gums. Increases alertness and possesses anti-cancer properties.

Vitamin A - Helps in the formation and maintenance of healthy teeth, skeletal and soft tissue, mucous
membrane and skin. Promotes good vision. Strengthens the heart function.

Protein - Helps in growth and development especially for children and adolescents. Maintains the cell,
muscles, tendons and ligaments.

Biotin – essential for the metabolism of proteins and carbohydrates.

Folic Acid – Acts as a co-enzyme with vitamin B12 and Vitamin C in the breakdown and synthesis of
hormones and cholesterol.

Pantothenic – Essential in the synthesis of Acid hormones and cholesterol

Calcium – important for growth and reproduction of human body, maintains also healthy teeth and
bones.

Chromium – Stimulates fatty acid and cholesterol synthesis and an activator of of several enzymes.

Phosphorous – Assists in the contraction of muscles in functioning of kidneys, maintaining of regularity
of heartbeat

Potassium – It is necessary for muscle building and normal body growth.

Magnesium – Helps in Muscle relaxation and contraction

Iron – Essential to the formation of haemoglobin which carries the oxygen in the blood and muscles.

Faida za kutumia "Splina Liquid Chlorophyll"
1. Inasaidia kuhuisha seli na kuongeza kinga.
2. Inaondoa harufu mbaya mwilini na sores.
3. Inaondoa tatizo la mmeng'enyo wa chakula.
4. Inasafisha Ini kwa kuondoa sumu kwenye Ini
5. Inaondoa kwa haraka sumu zilizo ingia mwilini
kupitia dawa za kuua wadudu.
6. Inaweka uwiano sahihi wa tindikali na alkali mwilini.
7. Inaongeza chembe hai nyekundu za damu
8. Inaaondoa mikunyanzi ya uzee na kupunguza kasi ya kuzeeka.
9. Inapunguza uzito kwa haraka.


Nani anatakiwa kutumia "Splina Liquid Chlorophyll"

  • Watu wenye matatizo ya moyo
  • Watu wanao toka jasho sana
  • Watu wenye matatizo ya Ini
  • Watu wenye matatizo ya upumuaji (Pumu,TB n.k)
  • Watu wenye matatizo ya mifupa na viungo
  • Watu wenye upungufu wa damu
  • Watu wenye ngozi iliyo pauka
  • Watu wenye matatizo ya uzito (uzito uliozidi au uzito pungufu)
  • Watumiaji wa pombe na sigara
  • Watu wasiopenda kula mboga za majani
  • Wanaosumbuliwa na tatizo la kukosa choo
  • Wanopata maumivu wakati wa hedhi
  • Wenye kisukari,vidonda vya tumbo na vidonda sugu.
  • Watu wanao ugua mafua mara kwa mara
  • Watu wenye matatizo ya koo (kukereketa n.k)
  • Watu wanaotoa harufu mbaya mwilini na mdomoni
  • Watu walio bize sana na wenye msongo wa mawazo
  • Watu wanaopenda kula vyakula vya harakaharaka (chips, burger, pizza n.k)

2. Kahawa za Ginseng & Red Yeast


Njia Salama ya Kurejesha hali ya ujana na kuondoa Mafuta mabaya kwenye damu"lehemu"(Bad Cholesterol)

Faida za kahawa ya Ginseng

  1. Inaboresha akili na kumbukumbu.
  2. Inakuweka katika hali ya kuchangamka.
  3. Inaongeza umakini na uwezo wa kuona na kusikia
  4. Inaongeza nguvu mwilini.
  5. Inaondoa mafuta mabaya (bad cholesterol).
  6. Inashusha presha ya juu.
  7. Inaongeza nguvu ya kujamiiana.

Faida za utumiaji wa kahawa ya Red Yeast

  1. Inashusha kiwango cha mafuta mabaya (bad cholesterol) na "triglycerides".

  1. Inaongeza kiwango cha mafuta mazuri (good cholesterol.)

  1. Inasaidia afya ya mfumo mzima wa damu (cardiovascular system).

  1. Inaupa lishe na virutubisho mzunguko wa damu (circulatory system).

  1. Inaboresha mmeng'enyo wa chakula.

VIRUTUBISHO vifuatavyo ni msaada kwa watu wengine, sio Mgonjwa uliyenitajia:

3. SHAKE OFF Phyto Fiber


Ni kinywaji kinachotokana na virutubisho asilia (roselle, oats, inulin n.k) kilicho na nguvu ya kusafisha kabisa na kuondoa mgandamano wote wa taka ktk utumbo mpana ikiuacha ukiwa msafi na wenye afya zaidi.

Faida za Shake Off

  • Imetengenezwa kwa virutubisho asilia, haina madhala kwa mtumiaji.
  • Ni njia ya haraka, salam, uhakika na nafuu ya kuondoa mgandamano wa taka tumboni hivyo kukupa kinga ya saratani ya utumbo mpana(colon cancer) na madhala mengine kiafya.(coprostasis)
  • Inakupa matokeo chanya masaa 8 - 12 tu baada ya kutumia.
  • Inapunguza uzito uliozidi na mgandamano wa mafuta kwenye mishipa ya damu (cholesterol)
  • Inaondoa tatizo la kukosa choo (Constipation) na kusaidia ukuaji wa baktelia wazuri tumboni.


4. MRT (MEAL REPLACEMENT THERAPY) COMPLEX - CHAKULA MBADALA

FAIDA ZAKE


  1. Inaunguza mafuta na kupunguza utengenezwaji wake mwilini
  2. Inavunja vunja mafuta mwilini na kwenye mishipa ya damu
  3. Inasafisha Ini & Figo
  4. Inafaa kwa wenye kisukari
  5. Inasaidia mwili kunyonya virutubisho vya lishe
  6. Inaupa mwili nguvu wakati wote wa "diet".


Naamini maelezo haya yatakuwa msaada kwako na jamii yako inayokuzunguka pamoja na Wanajamvi kwa ujumla.

Kwa taarifa zaidi, piga: 0713 366 473 or 0767 277 223.

KARIBUNI. FEEL LOVE NOW!
 
Swali ni kwamba vipimo vya maabara vilisema ana UTI?
 
Swali ni kwamba vipimo vya maabara vilisema ana UTI?

Mkuu Dr. Rick.

Nahitaji sana kuonana nawe kuzungumzia namna tunavyoweza kugusa maisha ya watu kwa habari ya AFYA ZAO. Tuwasiliane. Namba zangu: : 0713 366 473 or 0767 277 223.

KARIBU.
 

Very useful information

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Nacho weza kusema ni kwamba UTI ni neno pana sana kwan ukiangalia kirefu chake ni "urinary tract infection" kwa hiyo utaona sio ugonjwa bat ni maambukizi yote yanayo tokea kwenye njia ya mkojo! Kuna wadudu wengi sana hufanya maambukiz kwenye njia hii kama erichiarichia coli,p aurigenos,k aurigenos,c tracomatid,proteus, na kila mdudu anastyl yake so nivizur kama ningejua kwanin alienda hospitali?ninkilikuwa kinamsumbua? Sehemu gan ilikuwa ina uma? Na nini akifanya anajisikia vyema? Mkojo kuwa na mafuta haimaanish kwamba ana UTI inawezekana ikawa ni figo au kibofu au ini! Nakama mnadhan ana UTI kwel bas mpatien "metronidazole" hakikisha maelezo unapata kwa nesi juu ya matumiz ya hiyo dawa. Hii ni email yangu kama unataka ukaribu na mimi temuerick@yahoo.com
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…