MJ1 nitakujibu kwa heshima yako maana haya maswali niliyajibu toka jana:
1. Alikuwa meza kuu kakaa na mkewe na aliimbiwa happy birthday to you
2. Alikuwa meza kuu nadhani ni kama hakujua kinachoendelea vile maana alikuwa kawaida tu
3. Huyu EX alikuwa busy na chakula na vinywaji kwa wageni maana hata keki katika wale waliolishwa yeye hakuenda kabisa
Sijui nimekujibu my dear!! (Jiandae tarehe 20 -21 April nakuja kula hao bata Fairway)
Umeona TF?
Hawa wana bangi vichwani ndo maana wanadhani watu wote ni wajinga kama wao! Mwanamke aliyeandaa na huyo mume wa mtu aliyembeba mke wake nakwenda kumuaibisha mbele za watu ni mazuzu tu!
DC nitake radhi tafadhali kabla sijafuta kauli zangu kwako!!!!
Eh nimeishiwa nguvu. Aksante mwaya si wajua tena sie wengine tushazeeka uvivu hadi kusoma posts. Aksante kwa kunipa heshima hiyo.
Haya pole zake.
(Ukija this time ukaninyanyapaa ntakuozesha kwa nguvu)
Ngoja niconfirm what is going on between the two of them nitakuja na majibu muda si mredu maana naona DC kawa mkali mpaka naogopa
Nilijua leo utanikaba koo....
Samahani mdogo wangu?
Ila nilimaanisha kwamba wewe hata siku moja hujawahi kukutana na huyo anaitwa shetani akakupitisha njia ambayo siyo sahihi ukaja kustuka baadaye? Hakuna roho ya jinai hapo...ni hamu ya kujua tu!
Aksante Babu.......kusema ukweli nyie ndio mliofaidi maisha. Ulezi wa wana enzi zenu haukuwa wa taabu kama wetu sie na wenetu. Maisha ya ndoa kidogo yalikuwa na heshma si kama kwetyu sie ah.......I wish ningezaliwa enzi zako Babu.Ndo maana nilishasema kuwa hawa wasidhani wanatuzuga sisi...wanajidanganya wenyewe. Kila kitu kiko wazi...hawa wanatwanga uzinzi kwa kwenda mbele kama vile hawana akili nzuri...!!
DA,
Wala usijisumbue...Mbona maandishi ubaoni hayana utata?
Halafu si kwamba mie nakuwa mkali ila ni suala la kukerwa na uchafu unaonfanywa nao hao mazuzu. Si unaona hata wewe ulipoambiwa kuwa ni ma-ex ulikosa amani?
Eh............... mwambie apunguze wivu bana ah........ Huyo mEX ....dah ana guts aisee.Ha ha ha haya bana ndo wanaume zetu hao wa siku hizi. (Usijali shida nabanwa sana na BE si unajua tena ha ha ha mtu asione tu hapa maana mmmhh)
Sijawahi hata siku moja we mwenyewe unajua lakini unafanya makusudi tu
Hongera sana mdogo wangu, wewe ni miongoni mwa wateule wachache sana kati ya wale waliokuwa wajukuu zangu enzi zile. Nilitaka kujua kama hujachakachuka na kuwa na tabia ya hasira hasira kama yule mjukuu mwingine!
Basi jitahidi kukaa mbali na huyo shetani kwani kila kitu chake ni kizuri kuliko Tanzanite au diamond.......
Huyo mumewe naye alikuwepo?Kazi iko kubwa mie niliogopa kabisa maana eehhh wewe unaandaa kabisa birthday ye EX na una mume??? Hiyo ngumu
Aksante Babu.......kusema ukweli nyie ndio mliofaidi maisha. Ulezi wa wana enzi zenu haukuwa wa taabu kama wetu sie na wenetu. Maisha ya ndoa kidogo yalikuwa na heshma si kama kwetyu sie ah.......I wish ningezaliwa enzi zako Babu.
Yaani wewe umeolewa halafu unamfanyia mume wa mtu mwingine birthday party.....mhhhhh
Unakuta mwenye mke hafanyiwi lol.
Hata zawadi tu kumnunulia ni mbinde haya mambo yanataka moyo unapenda usipo pendeka.