Makubwa hayo weekend alikuwa akifanya nini hakutengeneza hizo nywele mpaka uende leo siku ya kazi?? Haya kila heri mkuu
Ha ha ha DC kumbe ndo ulivyompole kiasi hicho haya bana
Kumbe ndo umegundua leo? Hakika ni wanaume wachache wanaweza kuhimili mikiki ya wabia wao. Mimi nilishagajua jinsi ya kuyamaliza kiutu uzima. Unakubali tu kupelekeshwa ili mradi elasticity limit haizidi!!
Kweli leo ndio nimegundua nilikuwa sijui. Mpe hongera zake huyo mdau
Mmenifanya nijiulize hii ya kuandaa birthday party na ile ya kumnunulia boxer/panty siku ya birthday yake vina tofauti??
Ahsante DA,
Unaweza kutumia tu hiyo principle...Haina hati miliki. Ila usije kuanza mambo ya kuwaandalia watu birthday parties!
Nimeuliza kwa kuwa kwa mujibu wa maelezo ya awali ya KAKA nilielewa kama anashutumu kwa Bi shosti kuanika hadharani uhusiano wake na Mr Mume ndo nikauliza kuona kama sirini anakubali.MJ1 unamnunulia nani hizo boxer?? Ni ex au?? Mbona wanipa utata
:lol::lol::juggle::juggle:Mzima kabisa wewe ndo huonekani kila nikirudi umelala
Nikondoka umelala
Hujambo lakini nakumiss sana huoni CR tayari au unatakaje?
Nimeuliza kwa kuwa kwa mujibu wa maelezo ya awali ya KAKA nilielewa kama anashutumu kwa Bi shosti kuanika hadharani uhusiano wake na Mr Mume ndo nikauliza kuona kama sirini anakubali.
Ameshanijibu sawia.
Changamoto kwa mke wake. Huyo Ex wake yaonesha alikuwa anampenda kwa dhati. Huyu anayeishi naye napata mashaka, yawezekana hata birthday ya husband wake haikumbuki
Eh............... mwambie apunguze wivu bana ah........ Huyo mEX ....dah ana guts aisee.
MJ1 ... haya mambo yapo sana siku hizi ... recently i witnessed the very same occassion DA aliyo-post hapa ... mke wa jamaa aliandaliwa graduation ceremony na ex wa mumewe without yeye kujua through wifi yake. huyo ex wa jamaa ni bishost na dada wa mumewe ... ex aliandaa kila kitu kwa kushirikiana na wifi mtu ... mpaka shughuli inakwisha mke hakuelewa lolote ... mawifi zenu hawa kuweni nao macho!!
Back to story ... naweza thibitisha machache kwamba ...
1. hao ma-ex bado wana mahusiano ya kingono kwa sana tu ... hizo guts za kuandaa birthday sio mchezo ... kwa watu wasio na mawasiliano ya karibu ni kitu ambacho hakiwezekani!!
2. mke wa jamaa yuko kizani ... hajui kama mumewe alikuwa / ana mahusiano na jamaa ... ni kitu ambacho hakiwezekani kabisa yeye kuliruhusu hilo na kuweza kushiriki ... ili lajionesha katika participation ya huyo ex-shosti kuwa mbali wakati wa events za kulishana keki ... she & he were trying to hide their active status!
dada zangu ... siku hizi watu wanaoongoza kwa kutembea na waume za watu ni marafiki za mawifi, marafiki (madashosti) zenu wa kike, wakina mama / dada majirani, na ma-ex wa waume zenu. Kuweni makini ... hawa watu ni hatari kuwa karibu na waume zenu!!
... i'm out!!
Midabwada aksante sana maana duh umelidadavua haswaaa vya kutosha. Mawifi nasi tuna mambo ah. Nina shosti wangu mie aliolewa akajakuta wizi zake wana ukaribu sana na EX- wa kaka yao (Na hawakuachana kwa hiari yao bali Kaka aliendasoma nje huku nyuma Ex- akaozeshwa kwa mwingine). Sasa hata baada ya kuoa jamaa wakawa bado wanawasiliana na Ex- (Infact walikuwa wanajaribu kufanya mbinu Ex- aachike toka huko kwa mumewe) Bahati mbaya EX na mumewe walihamia nje ya nchi sasa kidogo ikawa ngumu. Balaa ni kuwa kila kukicha EX- anatuma vipercels kwa wifize............Mr kaagiza gari ulaya, likapitishiwa kwa kakake na Ex. Viparcel vyaja toka nje mume anaficha ilimuradi tafrani tupu humo ndani.MJ1 ... haya mambo yapo sana siku hizi ... recently i witnessed the very same occassion DA aliyo-post hapa ... mke wa jamaa aliandaliwa graduation ceremony na ex wa mumewe without yeye kujua through wifi yake. huyo ex wa jamaa ni bishost na dada wa mumewe ... ex aliandaa kila kitu kwa kushirikiana na wifi mtu ... mpaka shughuli inakwisha mke hakuelewa lolote ... mawifi zenu hawa kuweni nao macho!!