Aisee siyo haki hata kidogo....
Kama mnafanya mambo na Ex wako, hakikisha uliye naye hajui. Japo ni dhambi lakini ni afadhali kutenda dhambi sirini kuliko hadharani. Mimi babu yenu ODM nimefadhaika sana! Haki ya Mungu tena!
Hii kweli kabisa. Pole Babu hata mie nilishituka sikuamini anachoniambia ila mmmhh ngumu sana
Ukiweka pembeni hii habari ya kusikitisha iliyoniharibia siku yangu, weye mwenyewe na viungo vyako vyote haujambo? Babu anakumisi ujue. Au mpaka nife uje unizike ndo utafurahi?
Pole Babu nitakupoza jioni. Ila mimi mzima sana nakumisii kweli na ile gari yetu T106FAW naimis sana. Ila umebaki mda mchache tu nitakuwa maeneo
Nakusubiri kwa hamu.....
Wakija wajukuu zangu wengine kuchangia huu mswada, waambie babu alipita hapa mara moja akiwa safarini kuelekea Loliondo.
Nawapendeni nyote jamani.
Babu unaenda Loliondo kwa babu mwenzio sio, hivi babu unamkumbuka yule babu mwingine alikuwa kule salasala nyakati fulani hivi? Hivi yule anatofauti gani na huyu wa sasa? Au kwa vile huyu anaitwa mchungaji lol!!!
By the way. Karibu kwenye sherehe ya ex wa bibi, hivi ameshakwambia.

Mwambie sirudie tena kudadadadadeki....yaani bibi yenu alivo mtamu kuna jijanaume liliwahi kumnaniliu? God Forbid!Ha ha ha nilijua tu itakuwa hivi. Pole Babu typing' era bana
Wewe umesema ukweli. Na Dena anapaswa kuujua huu ukweli....ila kwa leo kamata hii zawadi yako unayostahiliDena eeh...! Hapa tusidanganyane, hawa watu bado wana uhusiano pamoja na kuwa ameoa/ameolewa.
Dena eeh...! Hapa tusidanganyane, hawa watu bado wana uhusiano pamoja na kuwa ameoa/ameolewa.
Mwambie sirudie tena kudadadadadeki....yaani bibi yenu alivo mtamu kuna jijanaume liliwahi kumnaniliu? God Forbid!
Wewe umesema ukweli. Na Dena anapaswa kuujua huu ukweli....ila kwa leo kamata hii zawadi yako unayostahili
The Following User Says Thank You to Buke For This Useful Post:
Asprin (Today)
Jana nilialikwa kwenye sherehe na rafiki yangu.
Tukiwa tumekaa kwenye maakuli na kunywa kwa sana nikamuuliza rafiki yangu huyo vip mwenye sherehe ni nani yako akaniambia ni Ex wake nilishituka kidogo lakini sikuonyesha kwa sana.
Kumbe bwana kamfanyia sherehe ya kuzaliwa Ex wake wa more than ten yrs, cha kushangaza sasa wife home hakukumbuka hiyo tarehe wala kusema happy birthday my husband, pia naye alihudhuria kwenye sherehe iliyoandaliwa na huyo bidada, mdada kaolewa ana watoto wawili na jamaa kaoa na watoto watatu juu.
Wapendwa tuwe tunaachana bila kinyongo huyu mdada nilimpenda sana kwa hiyo roho yake na kumbukumbu sikumdadisi sana kwanini waliachana niliona nisijeharibu sherehe ya watu bure.
Sijui waungwana mnalionaje hili ruksa au???
Kiukweli hilo sikuliuliza maana nilipoambiwa ni ya EX nilipata shock hata nikashindwa kuendelea kuuliza lakini alikuwa kajikausha kweli yeye na wageni tu mara chakula mara vinywaji lakini wakati wa kukata keki maza hausi ndo alishughulika yeye alikaa mbali hata keki yenyewe hakulishwa alikula ile imewekwa kwenye sahani.
Kiukweli hilo sikuliuliza maana nilipoambiwa ni ya EX nilipata shock hata nikashindwa kuendelea kuuliza lakini alikuwa kajikausha kweli yeye na wageni tu mara chakula mara vinywaji lakini wakati wa kukata keki maza hausi ndo alishughulika yeye alikaa mbali hata keki yenyewe hakulishwa alikula ile imewekwa kwenye sahani.
Wewe umesema ukweli. Na Dena anapaswa kuujua huu ukweli....ila kwa leo kamata hii zawadi yako unayostahili
DA, habari ya asubuhi? Kwenye blue nadhani was the hardest part ya hiyo sherehe kwa bibie