mzima sanahabari yako THE BOSS?
waionaje hii? Maana suala la usawa linapiganiwa sana, lakini hao hao wana underrate jinsia yao sometimes..
ukauzu nyo ni sifa ya kiume?
Hata mi sijui, aje atuelezeKwani ukauzu unamaanisha nini?
What do you mean???as far as i am concerned hakuna usawa
ila kuna haki za wanawake tu,na sioni tatizo wakipigania haki zao
ni undiduKwani ukauzu unamaanisha nini?
What do you mean???
ukauzu nyo ni sifa ya kiume?
inasemekana ati..
Kwani ukauzu unamaanisha nini?
Hata mi sijui, aje atueleze
yani usiriasi(hakuna masikhara),no tabasamu wala nini kama VILLAIN kwenye movie ya kimafia
Habari zenu wana MMU...
Siku hazipiti hapa MMU basi itapostiwa thread ikiwa imekaa kimfumo mfumo dume hivi kitu ambacho wenye kuuchukia huwa wanawasha moto vibaya sana hapa...
Sasa kwanini mwanamke akiambiwa "we mwanamke jasiri,kauzu,ngangari kama mwanaume? Anafurahi kweli kweli...mbaya zaidi utakuta mwanamke anamtukana mwanaume "we nae mwanaume? una mambo ya kike kikee" hapa huwa sielewi kabisa akimaanisha kakutusi...
Sasa usawa uko wapi hapa? Kuwa kidume au wakike kike?
ukauzu nyo ni sifa ya kiume?
:ranger: