ni kweli mwanamke akiambiwa yuko kama mwanamme anafurahi sababu inaonesga komitiment kwenye responsibilities, decision making, determination na fokas katika maisha.
mwanamme akiambiwa uko kama mwanamke anachukuliwa ana tabia za kupenda kulelewa au awe baba wa nyumbani, umbea mbea mtaani. Na mengine yasiyo ya tija.
mwanamke kuhusishwa na sifa mbiovumbovu nilizotaja hapo juu nadhani ilitokana na yeye kukosa nafasi ya kwenda shule ndo maana sasa hivi wanasema ukimwelimisha mwanamke umeelimisha jamii.
Theoretical, wanawake na wanaume ni sawa, practiacal, hili halip[o kabisa na usijidanganye...
Linapotokea tatizo, sisi wanawake ndio wa kwanza kujiweka kanda na kusema "wewe ndio baba wa nyumba..."
Tehe tehe tehe
Tabia za kike
Umbea, Legelege, Kudeka, Kulia lia, Kutojiamini,
Tabia za Kiume
Kufanya Maamuzi kwa Hekima, Ukakamavu, Uvumilivu, Ujasiri,
NADHANI NIMEKUJIBU
kwa hiyo practicaly mwanaume na mwanamke hawawi sawa eti?
thijui..
usawa naona haupo sasa au labda usawa unaopigiwa kelele siku zote ni Upi?
Sina umbea, sio legelege, sideki, siliilii na nnajiamini.Am I a MAN?Tabia za kike
Umbea, Legelege, Kudeka, Kulia lia, Kutojiamini,
Tabia za Kiume
Kufanya Maamuzi kwa Hekima, Ukakamavu, Uvumilivu, Ujasiri,
NADHANI NIMEKUJIBU
Labda huyo uliyenaye ndio ana tabia hizo,sio wote especialy mie siko hivyo,Tabia za kike
Umbea, Legelege, Kudeka, Kulia lia, Kutojiamini,
Tabia za Kiume
Kufanya Maamuzi kwa Hekima, Ukakamavu, Uvumilivu, Ujasiri,
NADHANI NIMEKUJIBU
Haya ni mapokeo tumeyakuta kutoka mwanzo na ndio maana siku hizi mambo yamebadilika sana,Habari zenu wana MMU...
Siku hazipiti hapa MMU basi itapostiwa thread ikiwa imekaa kimfumo mfumo dume hivi kitu ambacho wenye kuuchukia huwa wanawasha moto vibaya sana hapa...
Sasa kwanini mwanamke akiambiwa "we mwanamke jasiri,kauzu,ngangari kama mwanaume? Anafurahi kweli kweli...mbaya zaidi utakuta mwanamke anamtukana mwanaume "we nae mwanaume? una mambo ya kike kikee" hapa huwa sielewi kabisa akimaanisha kakutusi...
Sasa usawa uko wapi hapa? Kuwa kidume au wakike kike?
Haya ni mapokeo tumeyakuta kutoka mwanzo na ndio maana siku hizi mambo yamebadilika sana,
Kwa waelewa na wanaojua hata km mwanamme atabaki kuwa mwanaume cha msingi ni HAKI SAWA MAJUKUMU KWA WOTE,
Mambo mengine watu tu watumia lugha isiyonzuri km kashfa tu tu kwa wanawake.
makubwa!!!nzuri tu Bishanga, mzima weye?